Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

Tour guide siyo tusi. Ni kazi mtu anayoifanya, sawa na Nyerere alivyoitwa Mwalimu Nyerere. Na hakuna sheria inazuia mtu kuwa na titles mbalimbali kwa kkuwa ni haki yake.
Acheni kutafuta giza kwenye nuru.
Tupa jiwe wakati na mahala sahihi.
Tambua kuwa,huyo ni Chief wa Machief woooote,Tanzania.Sio mtu wa mchezo kabisa.Na hao wazungu hawajatambua hilo.
 
Kwani ni uongo?
Ni kweli mama ameamua kuwa tour guide, na anaipenda hiyo kazi.
Kwanini kuna shida mtu kuwa tour guide?
Mama ameipenda hiyo kazi, mwacheni aifanye kazi yake.
Aweke mambo yake sawa na akina Mbowe kwanza la sivyo hali yake itakuwa mbaya zaidi.
 
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

View attachment 1934034View attachment 1934036
Sioi tatizo hapo. Kamwita Special Tour Guide President S. S H. Mbona sawa tu!!! Kipindi cha Nyerere wakubwa wote waliitwa Ndugu hi sijui his/her excellency na mhashimiwa wameanza kujiita baada ya Nyerere kufariki. Hii ni kujikweza tu. Usipoitwa hiyo title inaondoa ukubwa wako?
 
The Royal Tour is a groundbreaking series of television specials, produced and hosted by Emmy Award-winning journalist Peter Greenberg, showcasing nations in a way no visitor has ever seen them before. Guided by some of the most dynamic and powerful Heads of State, Peter journeys deep inside each country to offer viewers access to extraordinary locations, historic landmarks and cultural experiences. Everything shown within these one-hour programs is accessible to the viewers who wish to travel to these amazing destinations themselves.
hapa umemaliza kila kitu
 
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

View attachment 1934034View attachment 1934036
Raisi ni mkuu wa kila nafasi, katika nchi Kwa hivyo ni tour guide pia! Na jamaa amesema vizuri tu, special tour guide!
Hayo mengine, ya mama kupiga hako kapicha, ni wivu wa kike tu!
 
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

View attachment 1934034View attachment 1934036
Msipingepinge kilakitu mnashida gani??

Tour guide sio tusi MTU yeyote anaweza "akaongoza wageni" hata rais pia.

Kwenye starehe siomuhimu kuita MTU mheshimiwa! Kwenye kazi rasmi ndiyo muhimu.

Tusipende kuhangaikia tuvitu tudooogo tuwe positive zaidi
 
Zanzibar ilimshinda babu yako nyerere.Uanganeni na Kenya.
Ilimshinda wakat ndo Imeungwa... Au huoni? Si ndo hii imeungwa na Rais tunamteua Dodoma aje kutawala Zanzibar. Akileta ubishi tunaweza mweka kwenye kifungo cha ndani kama Marehemu yule wa Kigamboni. Kumbe wewe bado mdogo hujui haya mambo .....😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom