Wayback 2006
Hits kali by then .!Inamaana hujui!!!!!
HaswaaaaWalikosea nidhamu ya kazi , sa hv wanamlaumu mwenzao
Std 1, upo serious kweli?Enzi hizo 2006 nipo std 1, ngoma inatamba vibayaaah.
aisee 2006 upo darasa la kwanza halafu unakuja humu kujibizana na watu wa miaka ya 60Enzi hizo 2006 nipo std 1, ngoma inatamba vibayaaah.
std 1 unajua nini zaidi ya kukojoa nyuma ya nyumba kdg std 5-7Enzi hizo 2006 nipo std 1, ngoma inatamba vibayaaah.
Sasa watu wa miaka ya 60 wana nini? Km kitu ambacho naweza kujibizania, sijali watu wa miaka ya 30 wala 20, napita nao hivi khaaaah. [emoji3][emoji3][emoji3]aisee 2006 upo darasa la kwanza halafu unakuja humu kujibizana na watu wa miaka ya 60
Huhuhuh std 5 ilikua 2010, wakati huo nipo buzzy na nyimbo za mbele huko. Sio hapa tena lol [emoji3][emoji3][emoji3]std 1 unajua nini zaidi ya kukojoa nyuma ya nyumba kdg std 5-7