cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,508
- 188,378
YesStd 1, upo serious kweli?
YesStd 1, upo serious kweli?
Siku hizi mashabiki ndiyo tumeugawa mziki na wasanii wake kwa kupitia mitandaoMB Dog fundi aisee.. ila Majani nyoko.
Uzuri zamani muziki ulikua haujashikiliwa na watu wachache. Huku TMK, huku MB na Tip Top, Mandojo & Domo, Jide, watu wa Bolingo nao si haba, Dah. Kwote kulikua lit.
Mtoto wa 99.