Si kweli Mzungu ana akili kuliko mtu Mweusi

Kwa hio wazungu wamekuzidi akili? Jibu ndio au hapana.
Ndio wazungu wametuzidi akili, unabisha?,
1.huu mtifuano wa ubishi hapa umewezeshwa na Hao wazungu, namtumia simu ya touch ambayo hata sijui ndani imetengenezwa na nn, lakini nafahamu Moja ya material za simu zinatoka Kongo na Zina pita hapa hapa dar kuelekea uzumguni.

2.internet connection tunayotumia hapa imewezeshwa na hao wa kuitwa mabeberu, na trump aliwahi kutamba kuwa wakiamua wa naweza kuzima Kutoka upande wao turudi kuwa mabubu

3, likitutokea janga huwa tunawakimbilia Hao Hao wazungu ili watusaidie,

Sent from my BKK-AL10 using Tapatalk
 
Afrika hamna kktu/ kila kitu unakitumia cha mzungu nguo na kila kitu ni idea zao sasa una kipi cha kusema
 
Kwa hio wazungu wamekuzidi akili? Jibu ndio au hapana.
Wakl juu ya waafrika wote. Mengine ni kujifariji tu. Ungekuwa na akili kuwazidi wewe usingeweka rehani maisha yako, kwani sasa hivi wao ndio wanaamua mwanadamu aishi vipi, wengine wenu ni kutoa fotokopi tu. Wao ndio wanao set standards mengin yote ubishi tu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Maendeleo na akili wametuacha mbali sana
Angalia biashara zao unakuta kampuni Ina miaka 160 na inaendelea tu
Ila sisi unakabidhi fisi bucha (hiyo ni akili)
Maisha yao wameamua yawe hivyo kama huduma zote wanazopata raia kwa kodi wanazotoa
Sisi kodi utatoa na rushwa utatoa (akili yetu hiyo)
La mwisho angalia hata forums zetu na zao
Kila kitu utategemea kutoka kwao sio kwa kuzidiwa akili bali kuzidiwa maarifa na uaminifu
Tuache wizi na roho mbaya
Humu penyewe kuna ubaguzi wa kila aina utapeli wa kila aina hata mtafarukano wa dini ambapo kila siku hoja za kijinga zinaanzishwa ila mods wanaziacha tu watu wazidi kuchukiana
Siasa za kishamba mradi mtu aandike tu
Hakuna sehemu unaweza kusema kuna afadhali
Acha tuburuzwe tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu ni uwongo wa mchana kweupe. Labda kama unazungumzia waarabu wanaoishi kaskazini mwa Afrika. Lakini mwafrika halisi karne ya 15 alikuwa anaishi kama wahadzabe kwa kuwinda, kuchimba mizizi na kuokota matunda na kuvaa ngozi au magome.
Wakati wenzetu tangu enzi za Yesu wanatengeneza nguo, viatu, magari ya kukokotwa na farasi, mashua, nyavu za kuvulia samaki, wanajenga majengo ya kifahari, wanasoma na kuandika, wana shule na wataalamu waliosomea taaluma husika Mfano Luka aliyeandika Injili alikuwa Daktari. Tafta yutube "Hagia sophia" kanisa lililojengwa karne ya 6 pale Istambul alafu uje uniambie mwafrika gani alikuwa na akili kama hiyo enzi hizo au hadi karne ya 15.
ustaarabu duniani umeanzia Afrika.mtu tajiri zaidi duniani mpaka Leo ni mwafrika.mtu aliyegundua uyeyushaji wa vyuma ni mwafrika,mtu wa kwanza kujenga majengo makubwa ni mwafrika angalia yale mapiramidi ya misri yalijengwa na wamisri weusi.chuo kikuu cha kwanza kilikuwa Africa.Fanya utafiti kabla ya kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom