The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,159
- 51,093
Umemponda mzungu kisha mwisho kabisa ukamalizia kwa kutumia lugha yake ya Kiingereza! huoni kua hata wewe ndio wale wale tu wanaomthamini mzungu na kumuona ni bora zaidi ya wengine?
Huo uhuru unaosemea kwamba tumepata umetusaidia nini? Miaka zaidi ya 50 ya uhuru, bado kura ya mwanachi inanunuliwa kwa hongo ya T shirt na ubwabwa!, kweli ni akili ya kawaida hii?ACHENI UPUMBAVU WA KUJIDHARAU WAAFRIKA, UNAJUA HATA WAAFRIKA AMBAO UNAWAONA SASA HIVI NI THE GREAT KAMA KINA SAMORA MASHELI, KINA IDDI AMINI, NYERERE, KINA KWAME, WANGEKUA NA MITAZAMO YA KUJIDHARAU KAMA KIZAZI CHA SASA HIVI KILIVO WENDA HATA UHURU TUSINGE PATA.
Huo uhuru unaosemea kwamba tumepata umetusaidia nini? Miaka zaidi ya 50 ya uhuru, bado kura ya mwanachi inanunuliwa kwa hongo ya T shirt na ubwabwa!, kweli ni akili ya kawaida hii?
South Africa ni Moja ya nchi za mwishoni kabisa kupata uhuru na ndio kimbilio la watu wengi ambao nchi zao zilishapata uhuru, Tanzania ikiwemo, hujajiuliza kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kila mda naongea sijui haunielewi, tatizo una mhukumu muafrika kama group la watu wa rangi flani, shika muafrika mmoja mwenye mafanikio kwenye maisha alafu tafuta mzungu aliefeli maisha. Alafu unambie hayo unayoyasema yanamsababishia nn mtu mweusi matatizo. Acheni kukariri, na wakoloni walio wachapa viboko huwa wanapenda mkariri hivo hivo ili waendelee kuwatawala.Mkuu ni matumizi tu sisi matumizi yetu tumeyaweka kwenye ngono mtu anafikiria afanyaje ili apige bao nyingi,angalia thread za humu zenye maudhui ya ngono ndo zina wachangiaji wengi na tumebuni maneno kibao ya hiyo kitu kama papuchi,nundu,nyapu,kitumbua,kipochi manyoya na mengine utaongezea sasa unadhani tutakuwa vipi na akili?wakati mtu anajisifu kupiga bao 8 na hiyo tabia haina umei hadi wazee utakuta wanaongelea papuchi.
tatizo lugha
Hivi kwanini watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko wewe unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi Waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.
Nahisi hawa ndiyo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama Mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.
Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko (wazungu).
Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why? Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nini.
Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.
Sent using Jamii Forums mobile app
We fala nini Wewe hapo una nini umekifanya cha Maana labda mpaka Ubishane na Ukweli We punga tu uki mind njoo getoACHENI UPUMBAVU WA KUJIDHARAU WAAFRIKA, UNAJUA HATA WAAFRIKA AMBAO UNAWAONA SASA HIVI NI THE GREAT KAMA KINA SAMORA MASHELI, KINA IDDI AMINI, NYERERE, KINA KWAME, WANGEKUA NA MITAZAMO YA KUJIDHARAU KAMA KIZAZI CHA SASA HIVI KILIVO WENDA HATA UHURU TUSINGE PATA.
Inategemea na mtazamo wako, kuwa great ni kitu gani. Mwingine aweza kumwona hata Idd Amin Dada alikuwa great. Kama unapima kupiga domo kama ndio akili nyingi basi utasubiri sana. Na katika hilo unaweza kujihesabu mwenye hekima machoni pako na wengine kuwaona wapumbavu.ACHENI UPUMBAVU WA KUJIDHARAU WAAFRIKA, UNAJUA HATA WAAFRIKA AMBAO UNAWAONA SASA HIVI NI THE GREAT KAMA KINA SAMORA MASHELI, KINA IDDI AMINI, NYERERE, KINA KWAME, WANGEKUA NA MITAZAMO YA KUJIDHARAU KAMA KIZAZI CHA SASA HIVI KILIVO WENDA HATA UHURU TUSINGE PATA.
GREAT KWENYE NCHI ZAO KWENYE TEKNOLOJIA NINI WALIGUNDUA ?ACHENI UPUMBAVU WA KUJIDHARAU WAAFRIKA, UNAJUA HATA WAAFRIKA AMBAO UNAWAONA SASA HIVI NI THE GREAT KAMA KINA SAMORA MASHELI, KINA IDDI AMINI, NYERERE, KINA KWAME, WANGEKUA NA MITAZAMO YA KUJIDHARAU KAMA KIZAZI CHA SASA HIVI KILIVO WENDA HATA UHURU TUSINGE PATA.
Karne ya 15 africa n europe were almost the same in levels of development, techology, education, science, so hayo mambo kuhusudiana na yakaleteleza gap. Utumwa ni wewe mwenyew ukiukataa wewe si mtumwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii comment hatobisha tena kuwa wazungu wanatuzidi akiriWe fala nini Wewe hapo una nini umekifanya cha Maana labda mpaka Ubishane na Ukweli We punga tu uki mind njoo geto
Sent using Jamii Forums mobile app