Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Sasa kulikuwa na haja gani ya kumpima tena wakati video yake iliyosambaa analiwa tigo bolo zima lilikuwa limeingia shimoni alafu analisikilizia kwa hisia huku akishikashika makende ya mshikaji
 
Yaani iwe fundisho kwa wengine
Wengi tunachanganya mambo humu, hatukatai kuwa watanzania wengi wanashiriki mapenzi ******************* (tiGo) lkn kosa alilofanya huyo mala.ya ni kusambaza picha zake za faragha mitandaoni, ukiingia xvideos utakuta clip kibao za Amber rutty akifanya uchafu wake so inaonesha kabisa hiyo ndo biashara yake. Ni bora angefanya mambo yake kinyakimya kuliko kuja kutuchafua na kutuharibia watoto mitandaoni. Apewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine.
 
Naona jamii inaaminishwa uongo juu ya huu upimaji.
Kwanza niseme hii kampeni ya Makonda ni ya kijinga, ila napinga sana vitendo vya ushoga. Hii kampeni itafanya hata ambao hawakujua ushoga ni nini watamani kujua, hata kuona videos na ndio wataharibikiwa zaidi achilia mbali namna watu wanavyochafuata saizi kwa kutajana majina.

Kuhusu upimaji, upo wa aina nyingi, kuna wa kutumia vifaa, na hata kuona kwa macho. Upimaji rahisi huwa ni kwa kuona ule mfereji kwa macho, mtu anainama kuhakikisha panaonekana vyema kisha anaweza ambiwa akohoe akiwa ameinama hivyo ndio upimaji rahisi ya mashoga ulivyo.
Sasa tuhitake kuaminisha watu kuwa kuna kuingizwa sijui vidole, sijui vitu gani ili tu kuchochea hasira za watu.

So, Amber kishindwa kukaa vizuri anajua yeye sababu, maana hata kama angepigwa finger, finger sio zaidi ya mashine kama ile video waliyosambaza inavyoonesha, yeye ni mzoefu.
labda watu wamokonda wamemsubu kikatili ili kumfunza adabu,ni hisia tu.
 
Tunasubiri madhara yawe makubwa ndio tuchukue hatua?Humu JF watu waliotaka kuona hizo video walikuwa wanapewa link na directly inakupeleka kwenye porn site!!!!
Kama hatutaki kuwa wanafiki,tuchukuw hatua sasa!Si mpaka mambo yaharibike
Hizo porn sites Nina miaka mingi sijaingia lakini video ya amber rutty nimeiona unajua kwanini?
 
Yes, kama kuna mwanachi atakayethubutu tena kupost/kuvujisha video ya Sodoma apimwe na ikithibitika akahifadhiwe. Haonewi mtu, hiyo ni kwa mujibu wa sheria zetu. Nyie endeleeni kumtetea huku vichochoroni alafu muone kama atachomoka.
Mkuu hakuna atakaye Kuwa tayari kupimwa... Maana huyo Amber Ruth mwenyew amezoea michezo hyo halafu kaenda kupimwa anashindwa kukaa vizur.. Sasa kama mtu aliye zoea anarudi na maumiv VP wengine?????
 
Haya mambo kuna haja kuanza kushughulikia kuanzia chini sio tu kwa wakomavu kama hao, watoto huku mitaani wanalawitiana sana hizi kesi tunazisikia kila siku.
 
Jamani,kwani huko hospitali wanapimaje?Nimejikuta ghafla nakumbuka zoezi la kuinikwa!!!!
Lakini kama mtu ana chuki na mtu fulani si anaweza kutuma ujumbe kumtaja ili apitie msaala wa kupimwa!!!Inaonekana hata kama puto liko fresh,kitendo cha kupimwa kinaenda kuvunja vunja centre bolt!!!
Kinachofanywa ni kutoa fundisho kwenu nyie ambao bado hanjakamatwa
 
Hizo porn sites Nina miaka mingi sijaingia lakini video ya amber rutty nimeiona unajua kwanini?
Nadhani kwasababu ya curiosity!!!Lakini pia kupiia video ya amber,kuna watu tayari watakuwa washajua hizo porn site zina nini!!!Video ya amber rutty lazima imewasaidia xvideo kuvuna wanachama zaidi kutoka Tanzania!
 
Nimeshasema hizo tabia zipo kwa wingi huko kwenu ndy hicho kinachokuaminisha kwamba % kubwa ya wanawake wametatuliwa.
Kampime mke kujiridhisha!Kama una magonjwa ya moyo,usijipe pressure bure!
 
Acheni kulishwa story na Mange Kima.vi, kwani wapi kwenye hiyo clip yako wamezungumzia vipimo!!?? Huyo ana maumivu yake na hata kama ingekuwa vipimo sawa tu sababu mamabo ya kisheria hayaendi kama mtakavyo nyinyi, lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka so ushahidi pekee wa uhakika na vipimo vya kisayansi.
Binafsi ningekuwa na mamlaka huyo mama angeozea jela, ametuharibia watoto kwa upumbavu wake.
Vipimo vya kisayansi ndiyo muingize vyuma huko nyuma hadi ashindwe kukaa??

Hongereni sana kwa hivi viwanda.
 
Hata ukimuonea huruma huna la kumsaidia huruma yako ni useless wala haiitaji. Ila kumbuka heri wenye Rehema maana hao watapata Rehema. Hivyo sahau kuhurumiwa maishani mwako pindi yatakapo kupata utakuwa mtu wa kukemewa tu wakati wako wa vita utakapofika.
Kwahiyo wewe haya maneno yako ndio ana yahitaji?
 
Nadhani kwasababu ya curiosity!!!Lakini pia kupiia video ya amber,kuna watu tayari watakuwa washajua hizo porn site zina nini!!!Video ya amber rutty lazima imewasaidia xvideo kuvuna wanachama zaidi kutoka Tanzania!
Mi cjaiona kupitia xvideo
 
Nyumbu ni wewe usiyejua lolote then unajitia ujuaji! Unajua maana ya Ushahidi usio na Shaka? Ndomana hata mtu akijinyonga bado maiti itafanyiwa utafiti kujiridhisha kama kweli kajinyonga au kuna lingine. Video pekee haiwezi kuwa ushahidi wa kutosha maana teknolojia imekuwa na inaweza kufanya yasiyowezekana yakawezekana, ndomana wanatafuta ushahidi (vipimo) usio na shaka. Msiwe mnakurupuka tu kuridhisha nafsi zenu, simameni kwenye uhalisia, haya ni mambo ya kisheria hayaendeshwi kwa porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.
Unatafutaje ushahidi wa MTU ambae video zipo,pili hajapinga amekiri kufanaya hivo hadharani. ... MTU ameshakiri kuwa amaefanya sasa unampima ili iweje ni kitendo cha kumpeleka mahakamani na kusubiri hukumu tu .
 
labda watu wamokonda wamemsubu kikatili ili kumfunza adabu,ni hisia tu.
hawawezi kufanya hivyo maana kwa akili za Amber angeishalisema hilo maana hana la kupoteza kama ni aibu ameishaipata hivyo haogopi kitu.
 
Back
Top Bottom