ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
kwa video zile hapana, hana aibuHata sijui kama ana aibu huyu.
kwa video zile hapana, hana aibuHata sijui kama ana aibu huyu.
Huyu aliziangusha akili zake pale jangwani kipindi cha mvua zikachukuliwa na mafuriko.kwa video zile hapana, hana aibu
Wewe umepimwa Mkuu?Huyu siwezi kumuonea huruma mm
hahahahaaaHuyu aliziangusha akili zake pale jangwani kipindi cha mvua zikachukuliwa na mafuriko.
Sijui hata nimuhurumie au nikae kimya! Sikutaka kucoment bila kuangalia hizo clip na nimeziona kiukweli nimeingiwa na ubaridi aisee!
Ntakuja tupimane na weweWewe umepimwa Mkuu?
Jamani,kwani huko hospitali wanapimaje?Nimejikuta ghafla nakumbuka zoezi la kuinikwa!!!!
Lakini kama mtu ana chuki na mtu fulani si anaweza kutuma ujumbe kumtaja ili apitie msaala wa kupimwa!!!Inaonekana hata kama puto liko fresh,kitendo cha kupimwa kinaenda kuvunja vunja centre bolt!!!