Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Unadhani kwanini hizo porn site bado zipo wazi kwa watz kuziaccess???Ni sawa na kuzuia video za musiki za kibongo ambazo hazina maadili ila ukaachia za kizungu ambazo hazina maadili zaidi!
Nadhani ni mihemko inayofanya kukurupukia mambo!!!
Hizo porn sites ni za Tanzania au za ulaya? Unawezaje kuzuia video za wazungu? Internet ya kwao sio ya kwako video hizo ambazo huku zinaonekana hazina maadili kwao hazina tatizo
 
Kumbuka hayo ni makosa mawili tofauti na kila kosa lina uchunguzi wake.
1. Kuliwa utumbo.
2. Kusambaza video ya kuliwa utumbo.
Kwa kosa la kuliwa lazima wajiridhishe kweli analiwa na namna pekee ni kumpima.
Kosa la pili ushahidi ni video yenyewe maana walikuwa wawili so kwa vyovyote vile video imetoka kwao na wao ndo wasambazaji wa kwanza.
Ukithibitisha kuwa video ni "aunthetic" na ukathibitisha kuwa uliyemkamata ni yule aliyoko kwa video basi hakuna haja ya kumpima!!!
Vp kama ukimpima na mtu alishawahi kubakwa huko nyuma?
 
Watanzania...ujuaji mwingi kumbe hakuna tujualo. Sasa endeleeni kumtetea na kumuonea huruma huku mitandaoni huku mnasubiri mvua ya mawe pale kisutu.
Wengi wanachanganya mambo haya mawili:-
1. Kupost video chafu
2. Kufanya uchafu
Hapo kila kosa lina uchunguzi na adhabu yake, ndomana leo hii ukisambaza video chafu ya mtu mwingine hautapimwa ila utatumika ushahidi uliosambaza lkn ukisambaza video yako mwenyewe hayo ni makosa mawili so kuna kupimwa na kuna ushahidi wa video uliyosambaza.
 
Acheni kulishwa story na Mange Kima.vi, kwani wapi kwenye hiyo clip yako wamezungumzia vipimo!!?? Huyo ana maumivu yake na hata kama ingekuwa vipimo sawa tu sababu mamabo ya kisheria hayaendi kama mtakavyo nyinyi, lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka so ushahidi pekee wa uhakika na vipimo vya kisayansi.
Binafsi ningekuwa na mamlaka huyo mama angeozea jela, ametuharibia watoto kwa upumbavu wake.
Wewe umeharibu maisha ya wangapi?. Hiki ni chombo kilichotumiwa na shetani. Mkorofi hapa ni shetani hata wewe usipomkaribia Mungu na kumpinga huyu shetani uko kwenye target ya mwovu. Pia shetani hupamba moto katika kazi zake pale tunaponyooshea wengine mikono na kujihesabia haki. Ajidhaniaye amesimama aangalie asije anguka. Wewe umesimama?.

Mungu muumba mwenyewe alinyosha mikono ktk kutumia hasira kunyoosha watu akaapa kuwa atashindana na mwanadamu kamwe kwani mawazo yake ni mabaya siku zote toka utoto wake. Hili alilifanya Mara alipogharikisha ulimwengu wote akabakiza watu nane. Na hao nane kiongozi wao akanywa pombe akalewa akakaa uchi alipoamka akalaani mtoto.

Hili lifanyike kwa weredi Mkubwa wa kufuata sheria na kanuni na sio kudhalilisha watu na kukomoana. Pia huruma ni jambo la msingi bila kusahau maombi na injili kuhubiriwa.
 
Kuna ambao hawapost ila wanaliwa mzigo!Ili tubaki na jamii safi,basi ni vema watanzania wote wapimwe!Iwe kama sensa,nyumba kwa nyumba,anayekutwa hana puto,ni jela!!!
Na huyo mpimaji naye atapimwa na nani? Unaweza kuta naye hana puto.
 
Hizo porn sites ni za Tanzania au za ulaya? Unawezaje kuzuia video za wazungu? Internet ya kwao sio ya kwako video hizo ambazo huku zinaonekana hazina maadili kwao hazina tatizo

Huna elimu juu ya teknolojia hii,uwe unauliza badala ya kujifanya mjuaji!!!Kwa taarifa yako,TCRA wana uwezo wa kuzuia site fulani zisiwe accessible na mtu yoyote aliyeko Tanzania!Ni suala la kuwasiliana tu na network provider!
Hapo ndio yanakuja mambo ya VPN!Kwa wale wajanja wataweza kutumia VPN kuaccess restricted sites!
 
Mimi napendekeza zoezi lifanyika kama sensa,nyumba kwa nyumba kila mtu apimwe!Ukikutwa huna puto,ni jela!!!!!
Nadhani ikitangazwa hivyo,tutabaki watu million 30 kutoka miliion 55!
Mtajenga jela mpya baada ya kuhamisha raia kutoka uraiani waishi magereza? Na hiyo budget ya chakula na matibabu yao?

It will be Tanzania on news headlines again all the citizens are examined to testify whether they are gays or not.
 
Na huyo mpimaji naye atapimwa na nani? Unaweza kuta naye hana puto.
Zamu yao ikifika tunawahamishia kwenda kupimwa maeneo tofauti na wanakopimia!Au tunaweza amua kuanza kuwapima wao kwanza!
 
Vipi kama angekuwa kapost video anayoliwa mbele,kosa lingekuwa lipi?Je,angepimwa K kujua kama aliliwa?
Kosa LA demu wako amber rutty ni kupublicize video ya ngono it doesn't matter analiwa mbele ama nyuma according to cyber crime law ni kosa kusambaza any pornography material
 
Mtajenga jela mpya baada ya kuhamisha raia kutoka uraiani waishi magereza? Na hiyo budget ya chakula na matibabu yao?

It will be Tanzania on news headlines again all the citizens are examined to testify whether they are gays or not.
Na katika hilo,nitategemea kuwa viongozi wetu wa kitaifa watakuwa mstari wa mbele kuonesha mfano katika zoezi la upimaji!
 
Kosa LA demu wako amber rutty ni kupublicize video ya ngono it doesn't matter analiwa mbele ama nyuma according to cyber crime law ni kosa kusambaza any pornography material
Kama kosa ndio hilo la kusambaza pornography material,kwanini apimwe?
 
I
Huna elimu juu ya teknolojia hii,uwe unauliza badala ya kujifanya mjuaji!!!Kwa taarifa yako,TCRA wana uwezo wa kuzuia site fulani zisiwe accessible na mtu yoyote aliyeko Tanzania!Ni suala la kuwasiliana tu na network provider!
Hapo ndio yanakuja mambo ya VPN!Kwa wale wajanja wataweza kutumia VPN kuaccess restricted sites!
I know all that stuff but kwa Tanzania hizo porn sites bado hazijawa na madhara makubwa kiasi kwamba tcra wazifungie pili hizo porn sites ni mpaka ugoogle tofauti na mtandao ya kijamii kila MTU anatumia wachungaji,mashekhe ni rahisi video za uchi kuonekana
 
Tuitishe zoezi la upimaji nchi nzima,i bet 30% washafukuliwa!
Matatzo mnayo nyie wafunuaji,kama unaweza funua mkeo/demu wako utashindwaje kufunua kidume mwenzako,waharibifu ni sisi wanaume expect me.
 
Dunia ya Mungu wote tumeumia kwa hili ila approach inayotumika Ku_observe ni wrong sana but tz ndo tulipofikia, wanasheria kazi yoa haionekani, Lisu, kibatala nk njoo mtetee Tanzania inaangamia
 
Huyo amber rutty mwenyewe sasa mku. Ndu mchafu sura ngumu kama Nazi mapaja yana stretch marks kama ramani ya dunia duuh Nazi wanayo wafiraji
 
II know all that stuff but kwa Tanzania hizo porn sites bado hazijawa na madhara makubwa kiasi kwamba tcra wazifungie pili hizo porn sites ni mpaka ugoogle tofauti na mtandao ya kijamii kila MTU anatumia wachungaji,mashekhe ni rahisi video za uchi kuonekana
Tunasubiri madhara yawe makubwa ndio tuchukue hatua?Humu JF watu waliotaka kuona hizo video walikuwa wanapewa link na directly inakupeleka kwenye porn site!!!!
Kama hatutaki kuwa wanafiki,tuchukuw hatua sasa!Si mpaka mambo yaharibike
 
Matatzo mnayo nyie wafunuaji,kama unaweza funua mkeo/demu wako utashindwaje kufunua kidume mwenzako,waharibifu ni sisi wanaume expect me.
Huenda hata mkeo alishawahi kufukuliwa ujanani!
 
Back
Top Bottom