binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,111
- 34,408
nadhani mke ana hulka ya usafi tu ile ya kusafisha kila kitu kinachowahusu


i see......nadhani mke ana hulka ya usafi tu ile ya kusafisha kila kitu kinachowahusu


i see......Unataka kuvunja ndoa za watu...mapenzi is just a tiny thing...utashangaa mke anapendwa sana simply kwa kuwa kila akipika anaunguza chakula!Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Hapanakama mume nipo mchumba huruhusiwi kuosha gari. Kazi za kiume kiaina hizo.
Dawa yako ndogo tuWaaaii kwanza hata cha asubuhi sikitaki mie. ... usingizi wa asubuhi mtamu atii. Ndomaana mahusiano yananishinda maana nikisemaga NO huwa sibembelezeki.....
Mmmmnnngh!Nooh hapo ndo mnapokosea. ... mapenzi makubaliano bana vinginevyo utakuwa unabaka.
Mie kama sitaki au sijisikii kukupa halafu ukafosi nalala usingizi tuliii kama gogo nakuacha ujisevie ukimaliza naenda kuoga nalala hata sikusemeshi.
Hata upige katerero kama sijisikii kufanya waalaah siamki sana sana utajikuta peni yako inalala kwa kukosa ushirikiano. Raha ya penzi mshirikiane bana weeh,mnaeza enda masaa 3 bila kujijua ni utamu juu ya utamu..... ila ukijifanya ooh mie nataka.... tena kinguvu.... kwa Kasie utaishia kubaka tuu.
nadhani mke ana hulka ya usafi tu ile ya kusafisha kila kitu kinachowahusu
Nimecheka ahah
Itakuwa masharti aliyopewa na mganga ili limbwata ifanye kazi.Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota carina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Upo?Nimecheka ahah
NipoUpo?
PoapoaNipo
Kweli mkuu... Labda muoshe woteAiseeh siku1 nilirudi nmechoka nikaacha kamguu kachafu nikapumzika ndani,mida ya jioni natoka wife yupo anaosha nilijisikia vibaya sana japo sikumwambia nikasema tu pole na kazi na asanteh!
HahahaNiliosha sana tu, tena kwa mahaba,mwishowe akaona kama ni kazi yangu na ikichelewa kuoshwa anakuwa mkali. Nikaacha kimya kimya,na yeye akagoma kunifundisha kuendesha.
Dawa yako ndogo tu
Mmmmnnngh!