Nooh hapo ndo mnapokosea. ... mapenzi makubaliano bana vinginevyo utakuwa unabaka.
Mie kama sitaki au sijisikii kukupa halafu ukafosi nalala usingizi tuliii kama gogo nakuacha ujisevie ukimaliza naenda kuoga nalala hata sikusemeshi.
Hata upige katerero kama sijisikii kufanya waalaah siamki sana sana utajikuta peni yako inalala kwa kukosa ushirikiano. Raha ya penzi mshirikiane bana weeh,mnaeza enda masaa 3 bila kujijua ni utamu juu ya utamu..... ila ukijifanya ooh mie nataka.... tena kinguvu.... kwa Kasie utaishia kubaka tuu.