Si kwa mapenzi haya

Si kwa mapenzi haya

Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Wanawake wengine hawana time na magari.
 
Usijekuta anafanya bila ridhaa yake.... saa 11.30 unaacha kupigwa cha asubuhi ati unaosha gari.... uko wapi mgawanyo wa majukumu?

Kuna ya kufanya mke na kuna ya kufanya kijana wa kazi na ya kufanya mke. Huyo mama/dada kuwa mama ya nyumbani uskute mumewe anamwambia ili nikupe pocket money inabidi ufanye kazi zinazomfanya mume alipie huko nje. Mfano hapo akiosha gari kika siku aidha ana 3000 au 2000 ambayo angewapa vijana waoshe hiyo gari hulk mtaani. Na mengine ambayo hatuyajui usikute mama wa watu ana nyanyasika kisa apate ujira. Sijawahi kuwa mama wa nyumbani ila ukiwaza na kutafakari sio kitu rahisi, yaani huna kipato zaidi ya hela ya matumizi unayoachiwa na mume ndo ubane apate walau hela ya kumtumia mama yake vocha au mdogo wake amnunulie kitu.

Sasa mbaya zaidi kama wana dada wa kazi ambaye a nabaki ndani alfajiri kufanya usafi wa nyumba na kuandaa kifungua kinywa huku wewe mama mwenye nyumba unapigwa na umande nje kisaa. ... mna save hela ya kutosha gari huko kitaa au apate ujira badala ya hela kumlipa mtu wa nje. Mbaya zaidi ukute muda huo dada wa kazi anainamishwa na the said mume ptuuuu....

All in all hapo hapajakaa sawa hata kama huyo mama ametokea kijijini, ukishamiliki gari inatakiwa budget yako ibadilike uwe na gharama ya kulipeleka car wash kila weekend na week days walau mara 4 lisafishwe juu juu na vijana wa parking au ule kobisi wiki kwa wiki. Ukiona huwezi muda gharama za kuosha gari bora uliuze utumie uber au bajaji kijulikane kimoja hutopata kero na gharama za kuosha gari.

Kama kawaida yangu nimeongea mengii sijui nimeeleweka. ...!!!?? Kila mtu achambue achukue kinachomfaa mie nshamaliza.
 
Cha asubuhi anapata saa 11 kamili.
 
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Wanabana matumizi,ila mama kutokujua kuendesha ndio naona kuna tatizo maana itajatokea dharura aidha baba anaumwa au hayupo na kuna mgonjwa wa kuwahishwa hospitalini ndio hapo matumizi ya nge....nge yanapoanza.
 
Waaaii kwanza hata cha asubuhi sikitaki mie. ... usingizi wa asubuhi mtamu atii. Ndomaana mahusiano yananishinda maana nikisemaga NO huwa sibembelezeki.....
Ha ha ha cha asubuhi kitamu mno we hujui tu.
Mimi akili ikishahamia chini halafu ukaniambia no mimi nakusukumia tu mashine mwenyewe utaonyesha ushirikiano.
 
Back
Top Bottom