mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Poa Kiasali, nimejikuta naguna baada ya kupitia maelezo yako mujarabuNiaje? Mguno mkubwa huoo unahitaji maelezo hehehehee.
Poa Kiasali, nimejikuta naguna baada ya kupitia maelezo yako mujarabuNiaje? Mguno mkubwa huoo unahitaji maelezo hehehehee.
Poa Kiasali, nimejikuta naguna baada ya kupitia maelezo yako mujarabu
Ahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kiasali baaaana umenichekesha sana daaaaaah! safari ni kuomba uzima tu Kasie kiasaliTaratibu... unaweza ukajing'ata halafu ukajikuta unaghairisha safari ya Tabora hehee.
Ahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kiasali baaaana umenichekesha sana daaaaaah! safari ni kuomba uzima tu Kasie kiasali
Furahi tuu mwaya, maisha yenyewe mafupi mchumba!Mahaba yako hadi raha mchuchu wangu![]()

Niliosha sana tu, tena kwa mahaba,mwishowe akaona kama ni kazi yangu na ikichelewa kuoshwa anakuwa mkali. Nikaacha kimya kimya,na yeye akagoma kunifundisha kuendesha.




