Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,216
- 31,539
Bila ada walimu watalipwa nini, chakula chao umeme, na uendeshaji utafanyikaje. Tupunguze lawamaMh. Waziri,
Shule zimefunguliwa juzi, hii shule imekataa kupokea wanafunzi kwa madai hawajalipa ada. Wanafunzi waliotoka mikoani wanarudishiwa getini.
Nijuavyo mimi, wanafunzi hawajaingia mkataba na shule, bali tatizo ni mzazi na utawala wa shule. Nashauri kabla shule haijapatiwa kibali iwe inachunguzwa malengo yake. Hii shule ya Waturuki wana hujumu juhudi kubwa za serikali kukuza elimu.
Naomba Mh. Waziri fuatilia hii shule kwa karibu. Pia wananchi wanataka kujua waliwezaje kuchukua hili eneo na kilikuwa kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum. Eneo lilitolewa na serikali kwa minajili hiyo na sio biashara ya shule.