Shule ya Turkish Maarif School Arusha ni tatizo

Shule ya Turkish Maarif School Arusha ni tatizo

Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.

Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.

Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.

Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.

Mtoto ana kosa gani?

Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
Nusu ada mwezi wa tisa? Kwani umelazimishwa? Mtoe mtoto wako mpeleke kwenye bure
 
Tamthilia zinawaharibu sana wanawake, kwenye tamthilia unalishwa kitu madirector wanataka kukulisha.

Mfano kuna tamthilia za mapenzi unaweza kudhani jamii hiyo ndio mafundi wa mapenzi na wewe mpenzi wako hajui lolote wala hayuko romantic kumbe ukweli nyuma ya pazia wao ni full vimeo.
Hapa sijaongelea tamthilia za Philippines,naongelea tamthilia za Uturuki ambazo Ni historically based,habari zilizohadithiwa kwenye Sultan au Ottoman Ni habari za ukweli tenga muda wako usome kwa msaada google
 
Lipeni ada awatowarudisha, unamtoaje mtoto Manyara kumpeleka shuleni bila ada, hao walimu watalipwaje, watakula nini
 
Hapa sijaongelea tamthilia za Philippines,naongelea tamthilia za Uturuki ambazo Ni historically based,habari zilizohadithiwa kwenye Sultan au Ottoman Ni habari za ukweli tenga muda wako usome kwa msaada google
Bahati mbaya Mimi siangaliagi tamthilia naona ni kama kilevi tu, Sasa siwezi kuwa na vilevi vingi.

Addiction ya tamthilia ni mbaya sana.
 
ati anasema atatoa mwezi ujao, atangulize hata nusu basi ndio aanze kulialia, waalimu watalipwaje sasa, wakigoma kufundisha si ndio mtoto wake hatafundishwa kabisa? mafuta ya magari kubeba wanafunzi n.k. peleka mtoto shule ambayo una uwezo nayo. sisemi hivi kwasababu mimi Mungu amenisaidia nimelipa, Mungu awasaidie, najua maumivu ya kukosa ada ya watoto na namna tunavyopenda kuwasomesha watoto wetu shule nzuri hata kama hatuna hela.

Nimejifunza kitu kwa waswahili
Akikopa halipi na kama una biashara anakuhama kabisa kama mmegombana

Hao ndio unakuta anasaidia ampeleke mtoto asome ili Alipe baadae

Hiyo baadae haifiki mpaka mwaka halafu anamuhamisha mtoto kisa wizi wake na utapeli

Mtoto anakuwa na waalimu kumi somo moja [emoji23]
 
Msijisahaurishe FEZA SCHOOLS ni shule za Waturuki na ni shule bora kabisa huwa boys na girls zote zinaingia kwenye Top Ten ya O level results.
Of course, kwa standards za Tanzania. za kutema kile ulichokaririshwa ili upite mitihani wapo juu sana. Ni sawa na shule za Wahindi kama Shaaban Robert, Mzizima na nyinginezo amanazo Watanzania Waafrika wanazihusudu sana.
 
wewe nae maarifa yako madogo sana.
Mbona hoja yako haina mashiko umeandika kama umekatwa kichwa.

Hujui unataka kusema nn.

Acha chuki ndugu.
Hujaelewa nini? Jibu hoja kwa hoja! Hata Waislamu wanapeleka Watoto wao shule za mission kupata elimu, but it all comes at a cost. Mitaala ya elimu ya Tanzania ni duni based on rote memorization (kukariri random facts), plus rampant corruption in the govt ndiyo maana Waturuki wanafanya biashara nzuri za mashule nchi masikini kama Tanzania.. Waturuki hawapenyi nchi zilizoendela na mtandao wao wa shule za msingi/sekondari kama Feza. Wakiruhusiwa kuanzisha shule nchi za dunia ya kwanza, ni kwa gia ya shule za Kiislamu, na hawatoi mainstream education. Mzungu maskini hawezi mpeleka mwanae shule ya kituruki sababu hazikidhi viwango vya elimu nchi husika, , lakini Tanzania hata JPM alimpeleka mwanae Feza. Sitoshangaa hizi Feza Schools zipo chini ya viwango vya elimu vya Uturuki yenyewe.
 
Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.

Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.

Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.

Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.

Mtoto ana kosa gani?

Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
 
Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.

Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.

Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.

Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.

Mtoto ana kosa gani?

Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
 
Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.

Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.

Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.

Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.

Mtoto ana kosa gani?

Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
Kwakweli umekua na nia isiyo nzuri. Mimi ni mzazi katika shule hiyo na shule hiyo ni moja ya shule bora zaidi kwa hapa Arusha. Uongozi wa shule pamoja na walimu waliwasilia na sisi wazazi/walezi wote kupitia magroup ya wazazi na meseji private kwa kila mzazi kumjuza juu ya deni lake na kutujulusha kama mzazi hajamaliza ada ya shule, basi usimpeleke mtoto shuleni kuepuka usumbufu.

Pia siku ya ufunguzi wa shule, wazazi na walezi tulishauriwa kuwaoeleka watoto wetu bila ya kuchukuliwa na usafiri wa shule ili kuweka sawa kila kitu na jioni baada ya masomo ndipo walirudishwa na usafiri wa shule. Kwakweli dhumuni lako ni kupototosha uma na sio kutaka msaada.

Nina ushahidi wa mawasiliano yote yaliyofanywa na shule na sio mara moja, waliwasiliana mara kwa mara.
 
Wazaz wengi wa Tanzania ni wajinga wanapenda sifa malimbukeni washamba wapenda kujimwambafai end of the day wanakufa masikini kwa upumbav na kusingizia kusomesha watoto Ada kubwa... Unataka mwanao akasome shule ya mbali ada kubwa huimudu kias kwamba unaingia mikopo haiishi, na shule yenyew haina maajabu... Unaacha shule za jirani unazoweza kuzimudu ada na ni nzuri kitaaluma... Ukiona unashindwa kulipa Ada maana yake wewe ni mpumbavu kwahio tafuta shule affordable kwako ambazo hata ikitokea umekwama huwez kukosa ada... Wazaz wengi ukiwauliza kwanini umempeleka mwanao shule fulani atakuambia shule ni nzuri inavutia wanavaa vzuri na watoto wa fulani wanasoma hapo [emoji28][emoji23] hajui kiwango cha taaluma, hajui uwezo wa walimu, hajui wanafunz wasoma vipi wakiwa shule... Bad enough shule nyingi sasa zina ushoga hasa hizi shule zenye walimu na wamiliki kutoka nje ya nchi, na hivi hamjui kuongeza na watoto wenu unakuja kushituka baada ya mwaka mwanao ni shoga [emoji304]...
Bila Ushoga, comment yako isingejitosheleza???
 
Bila sisi wazazi kulipa gharama za uendeshaji watatoa wapi? Why umpeleke mtoto bila ada ? Huoni umekua sehemu ya unyanyasaji wa mwanao? Kama umekwama toa taarifa tafuta ada kisha mpeleke kijana!
 
Elimu bure unataka mamlaka ifanye nini sasa
 
Hiyo nusu ya Ada waliyolipa kuna sehemu ingetosha, lipeni ada ya watu yote acheni brah brah
 
Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.

Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.

Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.

Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.

Mtoto ana kosa gani?

Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
Kwanza, hilo zoezi hufanywa na shule zote za binafsi. Pili, hata shule za serkali huko nyuma zilikuwa zinafanya hivyo, maana mtoto wa ndugu yangu aliwahi kurudishwa kwa karo akiwa kidato cha sita. Tatu, kama uwezo huna si uwapeleke watoto wako shule za serkali? Kwani lazima waende private, unataka misifa bila uwezo. Mimi wa kwangu wako sekondari ya kata na wanafaulu tena vizuri saana na sijawahi kusumbuliwa na kurudishwa watoto.
 
Back
Top Bottom