young ricky
Senior Member
- Aug 24, 2018
- 162
- 165
Huyu dog achana nae si unaona mpaka ana six part, Maamuzi yake na akili zake zinamtosha yeye tu afai hata kwa familia, anajifanyaga ana hasira hadi ansahau mmiliki anamng'ata
Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Hao boraDuh! Ahsante,nimeelewa mkuu. Vp kuhusu German Shepherd?
Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Hahaha eti dingo wa AustraliaHao ni mbwa au descendants wa Dingoes
Mkuu,kuna taratibu zozote kisheria za tz ninazopaswa kufuata ili nimiliki hao Rottweiler?Karibu mkuu

Ahahahaaaaa akili inaisha.Pamoja sana mkuu
Bora mara mia hao
Unajua anapo attack anarukia kende tu yaani haendi usoni wala mkono ni katikati tu hapo hata ngumi huwezi tupa unalegea mwenyewe
Kmk huyu Mbwa kama anabeba vyuma, sio wakufuga kabisa huyu
Yani huyu jamaa anajua sehemu za kumkalisha adui fasta nimekuwa nikifuatilia visa vyao aisee wanatisha kuna mmiliki aliwahi kuchomolewa koromea yani kisa alikuwa anawasevia msosi mdogo. Hii breed haijawa purposely kwa ajili ya ulinzi labda kwa ajili ya vita.Pamoja sana mkuu
Bora mara mia hao
Unajua anapo attack anarukia kende tu yaani haendi usoni wala mkono ni katikati tu hapo hata ngumi huwezi tupa unalegea mwenyewe
Ni kweli mkuu hawa ni vitani tu ndio panawafaa lakini sio kumkaribisha nyumbani.Yani huyu jamaa anajua sehemu za kumkalisha adui fasta nimekuwa nikifuatilia visa vyao aisee wanatisha kuna mmiliki aliwahi kuchomolewa koromea yani kisa alikuwa anawasevia msosi mdogo. Hii breed haijawa purposely kwa ajili ya ulinzi labda kwa ajili ya vita.
Hamna mkuu, ni mbwa km mbwa wengine, ila swala linakuja kwako unaamini una vigezo vya kumiliki Rottweiler, namaanisha msosi, huduma za veterinary, afya nzima kiujumla ya huyo Dog, chanjo n.k, unabidi uwe una bajeti na ratiba ya kumhudumia, else hautaweza kumwelewa vizuriMkuu,kuna taratibu zozote kisheria za tz ninazopaswa kufuata ili nimiliki hao Rottweiler?
Pitbull hao, wana nguvu afu ukiwatrain fresh hata ukuta wanaruka km tuta, kuna video nliiona pitbull anavuta matofali yenye jumla ya uzito km tani hivi, kwenye trolley
WanauaPitbull hao, wana nguvu afu ukiwatrain fresh hata ukuta wanaruka km tuta, kuna video nliiona pitbull anavuta matofali yenye jumla ya uzito km tani hivi, kwenye trolley
Wanatisha nomaWazuri mzeee. Fuga tu hawana tabu
Mkuu,wewe tafuta urafiki na askari Polisi wa kikosi cha Mbwa na Farasi,mwambie shida yako atakusaidia.Njia rahisi ya kuwapata ujenge mazoea ya kuhudhuria Police Mess hata ikiwa hunywi bia nunua hata maji tu.Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Kuna mtaalam anaitwa Elia maeneo ya mbagalaHabari zenu wana Great thinkers.