Shule ya mafunzo ya mbwa

Shule ya mafunzo ya mbwa

Pitbul huwa habweki Ovyoo ilaa ni Balaa Sana yani Kuua ni dak sifurii...!! Rott yeye anakelele Sana na pia ni mkalii...
 
Hila Rottweiler ni mtata sana zaidi ya huyu mziki wa Rottweiler mwingine alafu Huyu mbwa abweki bweki hovyo kwangu Rottweiler ndo balaa mpaka uwe na kibali maalumu kufuga rot

Kaa kimya hufugi mbwa wewe hata RW Humjui wewe, Hata tofauti zao huzijui zipo wapi ? Tangu lini RW anafugwa kwa Kibali hapa TZ?
 
Nimefurahishwa sana na hii Mada kwani napenda sana mbwa na pia ninao PITBULL wawili(Dume na Jike) na GS puppy 2(Dume na Jike) na GS mkubwa 1(dume).Kwangu ni full ulinzi 24/7,naomba nije kwenye mada moja kwa moja.
PITBULL ni mbwa waziri sana ila ni mbwa ambao inabidi uwe nao makini kwani sio mbwa wa kawaida,ni wakali kupita maelezo kwa mimi binafsi naona wanafaa sana kwa ulinzi kama kwako una uzio.Mtu akiingia wakati wa lindo atakuwa amejitakia mwenyewe,wakianza kukushambulia hawaachi mpaka waakikishe wamekumaliza.Mimi binafsi nawapenda kwasababu sio mbwa rafiki kuzoeleka na kila mtu.GS anaweza kuja mtu within mda mfupi akawa ameshamzoea kitu ambacho sio salama,hawa walimu wa mbwa wana mbinu zao ambazo anaweza kuja nazo na akamtuliza GS wako ukabaki unashangaa mbona huyu ni mkali imekuwaje kawa hivi ila kwa PITBULL sahau.Cha msingi ukiwa na hawa PITBULL ujitahidi kuwalisha kwa wakati kwani wanakula sana kutokana na miili yao kuwa na misuli.Kuwatunza sio gharama sana inabidi uwe unawapa chakula mchanganyiko na wawe na ratiba zao.
kama una swali utaulinza ila ulinzi wa mbwa niwa uhakika coz kuibiwa ni timing,jpili nitawaleteeni picha za kutosha tukumbushane
 
Mkuu,wewe tafuta urafiki na askari Polisi wa kikosi cha Mbwa na Farasi,mwambie shida yako atakusaidia.Njia rahisi ya kuwapata ujenge mazoea ya kuhudhuria Police Mess hata ikiwa hunywi bia nunua hata maji tu.
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Unataka ufuge kwa ajili ya ulinzi tuu? uliisha wahi kufuga Mbwa? namaanisha hawa G.S au Rot?
kama huna kipato cha uhakika au hujawa tayari na Bajeti yake kamili Hii breed haikufai kabisa, Udhaifu wao ni (OBEDIENCE)utii mdogo wakiwa hawapo vizuri (mazingira, lishe)
BTW Sikumbuki kama hii Pure breed imeruhusiwa hapa kwetu ila nimewaona cross Breed tu
Kwa makadirio unahisi kwasiku wanaweza kuteketeza shingap?
 
Nimefurahishwa sana na hii Mada kwani napenda sana mbwa na pia ninao PITBULL wawili(Dume na Jike) na GS puppy 2(Dume na Jike) na GS mkubwa 1(dume).Kwangu ni full ulinzi 24/7,naomba nije kwenye mada moja kwa moja.
PITBULL ni mbwa waziri sana ila ni mbwa ambao inabidi uwe nao makini kwani sio mbwa wa kawaida,ni wakali kupita maelezo kwa mimi binafsi naona wanafaa sana kwa ulinzi kama kwako una uzio.Mtu akiingia wakati wa lindo atakuwa amejitakia mwenyewe,wakianza kukushambulia hawaachi mpaka waakikishe wamekumaliza.Mimi binafsi nawapenda kwasababu sio mbwa rafiki kuzoeleka na kila mtu.GS anaweza kuja mtu within mda mfupi akawa ameshamzoea kitu ambacho sio salama,hawa walimu wa mbwa wana mbinu zao ambazo anaweza kuja nazo na akamtuliza GS wako ukabaki unashangaa mbona huyu ni mkali imekuwaje kawa hivi ila kwa PITBULL sahau.Cha msingi ukiwa na hawa PITBULL ujitahidi kuwalisha kwa wakati kwani wanakula sana kutokana na miili yao kuwa na misuli.Kuwatunza sio gharama sana inabidi uwe unawapa chakula mchanganyiko na wawe na ratiba zao.
kama una swali utaulinza ila ulinzi wa mbwa niwa uhakika coz kuibiwa ni timing,jpili nitawaleteeni picha za kutosha tukumbushane
Mkuu nimependa sana jibu lako. Swali langu ni kuwa,iwapo ulimuacha huru usiku yupo lindoni akiwa free ghafla katikati ya lindo akaja mgeni wako je ukitoka kwenda kumfungulia mgeni wako geti hakuna uwezekano wa pitbull kukushughulikia?
 
Nimefurahishwa sana na swali lako mkuu,sio rahisi kihivyo mbwa hawezi kukushambulia kama anakufahamu na kukuzoea labda umchokoze/unpige bila sababu.Cha msingi inabidi ujitahidi mbwa wako awazoee watu wote waliopo nyumbani(unaoishi nao) ili kuepusha shari endapo hautokuwepo uliezoeleka
 
Asante kwa jibu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom