Shule ya mafunzo ya mbwa

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
617
487
Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.

Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.

Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule

Ahsanteni
 
Hawa mbwa sio rafiki kabisa na hawana mchezo kila wakati wamenuna tu
Miaka ya nyuma walipigwa marufuku UK kwa sababu ya ushambuliaji wa ghafla

Wameua hasa watoto wadogo na kuvamia watu pindi wanapoachiwa kwenye park

Hawa mbwa unapaswa kumvunga mdomo kama yule jamaa wa movie ya Con Air
 
Mkuu ww ni mtu watano unanitisha. Mm nimeambiwa hawa mbwa ndo wazur sana kwa ulinzi na ni wepesi kushika mafunzo. Nzur zaid nasikia uwezo wao wa kunusa ni mkubwa mno. Anaweza kunusa harufu ya kitu umbali wa mita 120,hii inamaana Pitbull mmoja anatosha kung'amua uwepo wa mtu mgeni ndan ya nyumba kwakunusa harufu tu na anachukua hatua kumdhibiti mtu huo.
 
Nasikia aina hiyo ndio waliomng'ata Kingunge?

Huyo Mbwa anatakiwa kuzoeana na mtu mmoja tu anayemlisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom