Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Hii ni habari nyingine kabisaUnamfahamu Rottweiler wewe PUTBUL cha mtoto

Yaan chotara wao,sindiyo,au nimeelewa vibaya mkuu?!
!
Kuna Mmoja Walichanganya Wolf Na Germany Shepherd Ni Konyo.
Duh! Sasa naanza kuwaogopa aseeNasikia aina hiyo ndio waliomng'ata Kingunge?
Huyo Mbwa anatakiwa kuzoeana na mtu mmoja tu anayemlisha.
Asante mkuuNenda instagram tafuta jamaa anaitwa nattydogs anatoa mafunzo.
Usisikilize ya watu kwani huyu kiumbe mimi huwa namfananisha na black mamba kwa nyoka.Mkuu ww ni mtu watano unanitisha. Mm nimeambiwa hawa mbwa ndo wazur sana kwa ulinzi na ni wepesi kushika mafunzo. Nzur zaid nasikia uwezo wao wa kunusa ni mkubwa mno. Anaweza kunusa harufu ya kitu umbali wa mita 120,hii inamaana Pitbull mmoja anatosha kung'amua uwepo wa mtu mgeni ndan ya nyumba kwakunusa harufu tu na anachukua hatua kumdhibiti mtu huo.
Km unataka wa ulinzi mkali mtafute Rottweiler, otherwise German Shepherd pia anafundishika vizuri sana, ila Rott ni msalaHabari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Hao ni mbwa au descendants wa DingoesWacha kununua mbwa wa kizungu mkuu,mbwa wa kisambaa wamejaa korogwe-mombo hadi mazinde huko na ni wakali balaa.
Kingunge si ana Rottweilers, alikuwa na Pitbull pia?Nasikia aina hiyo ndio waliomng'ata Kingunge?
Huyo Mbwa anatakiwa kuzoeana na mtu mmoja tu anayemlisha.
Hamna mkuu, dogs wote ni smart, hasahasa hao pure bred,Duh! Sasa naanza kuwaogopa asee
Ngoja nikutumie namba mkuuHabari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Piga namba hizi huyu ndo ticha wa mbwa aina zote hata wetu kapata mafunzo hapo 0715916521Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Km unataka wa ulinzi mkali mtafute Rottweiler, otherwise German Shepherd pia anafundishika vizuri sana, ila Rott ni msala
Yaani ulivyo mfananisha na nyoka koboko mwili mzima umesisimka. Kamay ule nyoka ni shetani basi huyu dogi atakuwa ibilisi... simtaki hata kwa kupewa bureUsisikilize ya watu kwani huyu kiumbe mimi huwa namfananisha na black mamba kwa nyoka.
Kuna familia nakumbuka walikuwa sio mbali sana na nilipokuwa naishi miaka ya nyuma (sio tz)
Walikuwa na hili jibwa la kutisha walizoeana mpaka mtoto wao wa miaka 2 akawa anacheza nae, basi siku moja walimuacha mtoto akiwa anacheza nae garden ya nyuma wakasikia kelele
Kuja kutahamaki pit bull alikuwa anamchana chana kama toy.
Na huo ukawa mwisho wa uhai wa mtoto na mbwa aliuwawa na police.
Sikutishi ila sasa huku niliko ni lazima umsajili kama utapata kibali na pia lazima umuwekee insurance kama likitokea jambo fidia ipatikane na la muhimu zaidi ambayo ni lazima kila wakati uwe umemfunga chain au kamba na mdomo ukiwa umefungwa kama picha inavyoonyesha.
Hawa sio mbwa kaa nao mbali tafuta wengine View attachment 887496
Kitu kingine, mbwa malengo gani? Ulinzi nyumbani au pet au pambo fulani?Habari zenu wana Great thinkers.
Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam.
Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa huwa haina rafiki wa kudumu na inaweza kukuchenchia wakat wowote ispokuwa tu kama anamafunzo,ndipo huweza kujizuia kuleta zogo kwa bosi wake. Aina hii nasikia ni aina ya mbwa wakali kuliko wote Duniani.
Please! Wanajopo naomba mnielekeze ninapoweza kuipata shule ya mbwa ili nikimnunua nikamuanzishe shule
Ahsanteni
Believe me mkuu, sioni utofauti wake this dog is the most aggressiveYaani ulivyo mfananisha na nyoka koboko mwili mzima umesisimka. Kamay ule nyoka ni shetani basi huyu dogi atakuwa ibilisi... simtaki hata kwa kupewa bure