Usisikilize ya watu kwani huyu kiumbe mimi huwa namfananisha na black mamba kwa nyoka.
Kuna familia nakumbuka walikuwa sio mbali sana na nilipokuwa naishi miaka ya nyuma (sio tz)
Walikuwa na hili jibwa la kutisha walizoeana mpaka mtoto wao wa miaka 2 akawa anacheza nae, basi siku moja walimuacha mtoto akiwa anacheza nae garden ya nyuma wakasikia kelele
Kuja kutahamaki pit bull alikuwa anamchana chana kama toy.
Na huo ukawa mwisho wa uhai wa mtoto na mbwa aliuwawa na police.
Sikutishi ila sasa huku niliko ni lazima umsajili kama utapata kibali na pia lazima umuwekee insurance kama likitokea jambo fidia ipatikane na la muhimu zaidi ambayo ni lazima kila wakati uwe umemfunga chain au kamba na mdomo ukiwa umefungwa kama picha inavyoonyesha.
Hawa sio mbwa kaa nao mbali tafuta wengine
View attachment 887496