Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,261
- 28,422
- Thread starter
-
- #161
Mbeya day shule yangu ya O'level sidhani Kama ndio hiyo.Mbeya day imeanzishwa 1964Mbele ya Mbeya Day kuelekea makaburini ukipita uwanja wa mpira wa zamani kabla ya kufika mabatini.
Tulkuja kuwa watu peace sanamzee kyege kama mnaendana ni mtu peace sana. Ila kama sivyo utajuta
Tulkuja kuwa watu peace sana
Baada ya kumpigia tisin naa mtihan wake wa ufund
Umesoma na kinaMwana iyunga karibu sana. Bado sijaona Mwana iyunga Class of 2010
Naona wanaiyunga ni wengi, hebu niwape kidogo, shule ile miaka ya sitini lilikuwa zaidi ya nyumbani yaani wanafunzi na walimu wote ikiwa headmaster mzungu na mkewe tulikula pamoja mesi chakula kilikuwa na hadhi ya hoteli kubwa daraja la kwanza na walimu walikuwa na attachment za makazi kwenye mabweni, kila mwanafunzi alikuwa na shuka nne nyeupe, foronya mbili na bedcover moja; Siyo rahisi kuelewa nyie lakini ndivyo ilivyokuwa.
Karatu enzi gani?Sasa hizi zinazojengwa miaka hii ni shule au maboma ya kukusanyia watoto maana hazina hata robo ya huduma kama shule za zamani,
Nilisoma pale Karatu shule iko powa hadi university uchwara za miaka hii hazifui dafu
Daaah mlikula bata hongera sana mzeeNaona wanaiyunga ni wengi, hebu niwape kidogo, shule ile miaka ya sitini lilikuwa zaidi ya nyumbani yaani wanafunzi na walimu wote ikiwa headmaster mzungu na mkewe tulikula pamoja mesi chakula kilikuwa na hadhi ya hoteli kubwa daraja la kwanza na walimu walikuwa na attachment za makazi kwenye mabweni, kila mwanafunzi alikuwa na shuka nne nyeupe, foronya mbili na bedcover moja; Siyo rahisi kuelewa nyie lakini ndivyo ilivyokuwa.
Darasa historiansBila shaka ulimaliza 2008 au 2009
Darasa historians
Poleni tulikuja wakati ni advance na o level wa mwisho ndo wako form iv hayo yote hatukuyakuta mkuuKaratu enzi gani?
Mzee kibatala akiwa headmaster?
Bakora za karatu aisee zilikuwa laana.
Unapigwa bakora hadi chupi inachungulia headmaster anakuambia nimeona chupi na nyuchi za wazungu sishtuki na tumapaja twako kwanza hujavunja ungo.....aaaahhh viva kibatala viva hedimasta wetu karatu Sec.
Mnalima kama matrekta shule ya Kilimo kweli kweli...
HahahahaAhaaaha nyie ndo mlipelekwa chaka na Waziri wa elimu eti akafuta Mtaala wa ufundi. Anyway poleni sana wataalamu. Hata hivyo mwaka wenu mlifauru sanaaa
Sie tuliosoma enzi za uji hauna sukari na mwepesi tumekula hasara. Mi nilisoma Tanga tech, bahati nzuri shule ilikua imehifadhi majarida yake ya zamani. Nilikua nikiyasoma natamani kulia maana inaonekana wanafunzi walikua wanakula bata sana. Miaka ya 60s na 70s shule inaprint majarida yake lakini 2019 sidhani kama kuna shule bongo inafanya hivyo.Naona wanaiyunga ni wengi, hebu niwape kidogo, shule ile miaka ya sitini lilikuwa zaidi ya nyumbani yaani wanafunzi na walimu wote ikiwa headmaster mzungu na mkewe tulikula pamoja mesi chakula kilikuwa na hadhi ya hoteli kubwa daraja la kwanza na walimu walikuwa na attachment za makazi kwenye mabweni, kila mwanafunzi alikuwa na shuka nne nyeupe, foronya mbili na bedcover moja; Siyo rahisi kuelewa nyie lakini ndivyo ilivyokuwa.
Ukipita uwanja wa mpira wa zamani nadhani ndipo hapo ilipokuwa hiyo shule. Miaka ya 83 kurudi nyuma na baada ya miaka unsyoitaja wewe palikuwa na shule (of course ilikuwa ya zamani sana) ilijulikana kana Mbeya Primary.Mbele ya Mbeya Day kuelekea makaburini ukipita uwanja wa mpira wa zamani kabla ya kufika mabatini.
Duh!!!Sasa niwape mpangilo wa mlo kwa siku.
1. Breakfast: yai, mkate uliochomwa (toast), maziwa,uji, silesia za mkate, jamu, siagi.
2. Saa nne asubuhi: chai ya maziwa, keki, cocoa, silesi za mkate na maziwa, uchaguzi ni wako mezani.
3. Chakula mchana: viazi mviringo ( kila siku mpiko tofauti) nyama ( kilasiku mpiko tofauti) silesi ya mkate, ndizi mbivu na pudding.
4. Saa kumi: keki, maziwa, Silesia za mkate, cocoa, chai ya maziwa.
5. Chakula cha jioni: supu, wali njegere au nyama roast, au chips au mchanganyo wa kihoteli wapishi watakavyokuwa wameandaa, Silesia ya mkate, jamu, siagi,chai ya maziwa, karanga zilizokaangwa.
Kutokana na uandaaji huu lilikuwa hakuna sababu walimu kula majumbani mwao labda tu akipenda, je, tumesonga mbele kimaendeleo au tumerudi nyuma.
Poleni tulikuja wakati ni advance na o level wa mwisho ndo wako form iv hayo yote hatukuyakuta mkuu
nmekulza swali hapo juuu mkuuAhaaaha nyie ndo mlipelekwa chaka na Waziri wa elimu eti akafuta Mtaala wa ufundi. Anyway poleni sana wataalamu. Hata hivyo mwaka wenu mlifauru sanaaa
Hatukuona kipya kwani tulikuwa tunalipa ada sawa na kununua gari hivyo haikuwa tufauti sana na nyumbani labda kwenye machine za kufulia nguo tu.Duh!!!
Mlikula bata aisee!