Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
Sio dampo ila haina lolote zaidi ya maji machafu yaliyotuama... Anyway nimeimis Sana shule yangu
Huyo Teacher poa Sana, hadi leo tupo nae group whatapp tuliomaliza form four 2009Ko ni kama Kyege ( Mwakasege)
Huyo Teacher poa Sana, hadi leo tupo nae group whatapp tuliomaliza form four 2009
Washkaji wa cattle boma walikuwa wanaruhusiwa kuvusha nyaliSanaaaa. Ukiwa cattle boma lazima unywe uji wa maziwa.
Hahaha kumbe nilikuacha pale.Ohoooo. Mm nilimaliza 2010
Washkaji wa cattle boma walikuwa wanaruhusiwa kuvusha nyali
Hahaha kumbe nilikuacha pale.
Unalikumbuka gazeti la shule? Unamkumbuka muandishi wa lile gazeti?
Hahaha hapana ila ni vizuri ukiwa hukumbuki ili identity yangu iendelee kuwa anonymous...... Ila nilikuwa naishi bweni la Mkwawa chembaniNaniiiii Metho???
Halafu wanajidai kinoma, walikuwa wanaishi kikabila wote wasafwaAhaahah walikuwa na maisha fulani mazuri. Full kushindilia
Hahaha hapana ila ni vizuri ukiwa hukumbuki ili identity yangu iendelee kuwa anonymous...... Ila nilikuwa naishi bweni la Mkwawa chembani
Halafu wanajidai kinoma, walikuwa wanaishi kikabila wote wasafwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] identity humu ndio kila kitu ndio ujue still watu hatupo free kabisa yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Aisee watu mbona mnalinda sana iD zenu. Mnataka mfanye ujambazi nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] identity humu ndio kila kitu ndio ujue still watu hatupo free kabisa yaani
Hatari Sana.... Table leader ni watu wengine walioishi maisha mazuri, Mkapa bweni la masharobaro, Luthuli waliopindaAhaahh kama ulikuwepo yani. Kama hutokei mbalizi au umalila hukai cattle boma kabisa
Hatari Sana.... Table leader ni watu wengine walioishi maisha mazuri, Mkapa bweni la masharobaro, Luthuli waliopinda
Sijaenda shule kabisaWe umesoma wapi kwani
Dispensari imekuwa bweni! Inamaana shule imepiga hatua kubwa kutokomeza maradhi hivyo hakuna wanafunzi wanaougua! Safi sana, natamani nirudi.Mkuu dispensary ilikuwa bweni LA Benjamin mkapa
Lile lenye vyemba vizuri liko kati ya shaban Robert na Luthuli
Bora wangefanya kituo cha afya, waafrika sijui tukoje! Jengo lilijengwa kihospitali likiwa na attachment ya makazi ya mhudumu wa kituo.Yap...nimekumbuka.
Ndo waliamua kuigeuza iwe Bweni, kea kuanzia wakaanza kuwaweka wanafunzi wa Advance.
Mbele ya Mbeya Day kuelekea makaburini ukipita uwanja wa mpira wa zamani kabla ya kufika mabatini.Sio mbeya day hio