Hahaha mipata raha sana asee...hahha...hizo hot water heaters sijawahi kuziona hata mabaki yake nilipoenda kusoma pale


...Swimming pool ilibaki shimo tu.
Laundry

hii inaweza kuwa yale mabaki niliyaona kule nyuma karibu na jiko, karibu na mashine.
Chakula kula na walimu, hiyo haikuwepi kabisa,Msosi mbaya kabisa

Gymnasium, ilibaki jengo...tulikuwa tunaitumia tumia kidogo kama ukumbi (wa mtihani na viParty vidogo dogo) kiujumla ilikuwa imechoka, zile mbao chini zilikuwa ktk hatua zake za mwisho mwisho.
Dispensary




...Sikumbuki ilikuwa upande gani,hahhaa...ila walikuwa kutengeneza ya kigumu tu pale bweni la Shaban Robert.
Dinning ilikuwepo, ila ilikuwa ndogo...tunakula tumesimama, wengine wanatoka kula nje kweny viunga vya maua.
Hahhaha, Najivunia kusoma pale.
Ila ikirudishwa siku nyuma niambiwe nikasome SIENDI.