Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Acheni utani hizo ni shule bora za enzi hizo, enzi ambayo serikali ilikuwa inajali elimu....
Njoss ilikuwa inaipita kidugara seminary?
Siku hizi kuna
Tia moyo seco
Penda moyo seco
Moyo mwema seco
Tujitahidi seco
Tumaini jema seco
Mungu ni mwema sec
Atupendae sec
Tumain letu sec
Haya ndo majina ya shule zetu zileeee
Ona shule za kata zinavyotuharibia elimu...wewe elimu ni wingi wa wanaopita shuleni, maana wanapita tu hata hawaelimiki......unapata engineer asiyejua kitu bado unaita elimu...pole sana.Poor you!!
Ijali elimu waliokuwa wanamaliza form 4 hawafiki hata laki moja kati watoto zaidi ya milioni wanaomaliza primary!!!
...hahahaa Njoss ya lini ? nawakumbuka akina dengeya mwanyigu and team. Msitu wa ndovu, golani, Dom six.....
Hata mi nimeshangaa kaacha shule ka Weruweru, Machame girls.Aisee mbona mademu wetu wa Ashira Hawapo...?
Hata mi nimeshangaa kaacha shule ka Weruweru, Machame girls.
na ww ni kilaza utaiachaje njombe boys..njoss ina miaka zaidi ya babu yako mkuu
Apa Tz shule ya Boys ni moja tu nayo ni SONGEA BOY'S
Afu inakuaje madem wetu wa TAMSALA(SONGEA GIRLS) hujawaweka kweny list yako?? Wew ndio Kilaza mkuu