Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.
is there any Ali shababu member? we need some bombs or a gud sniper! JK shud die on 9. December seremoni!
 
Yaani enzi zetu hata kwenye ndoto haliwezi kuja wazo la misingi ya udini namna hii....hii mbegu ya udini ni zao la CCM ya Makamba na JK
 
Jee shule hiyo ina wanafunzi wakristo na waislam wangapi?hilo ndilo suala la msingi

Hakuna swala la msingi wa uwiano wa dini! kwani wanasomea elimu ya dini hapo shuleni, eeh! wanasomea ushehe pale! au wanajifunza uaskofu!
 
elimu na ibada vinaenda pamoja,ndio maana shule za seminari zinafanya vizuri kwa kua wana abudu kwa sana!sasa vijana wa kiislam kama hawana mahali pa kuabudia itakuajee? Watakua wavuta bangi na elimu
 
Hata hao wakristo waliopo hapo ndanda ni wa madhehebu tofautitofauti,sasa wasabato wakidai kanisa,walokole wadai,orthodox wadaii na anglican watake lao,kutakuwa na shule kweli?whats so special about these people?i think they should concentrate on their studies,after all wanastay ndanda for only 2 ys
 

Mkuu hepu fafanua hizo vurugu ni kubwa kiasi gani mpaka kupelekea shule kufungwa,kuna majeruhi ama uharibifu wa mali?
 
Halafu tunajiuliza kwa nini hatuendelei?jamani people should try to think beyond their nose,we have lot of big problems to think of,
 
chanzo cha taarifa kiko wapi unaweza kuta thread imetumwa kuchochea udini ikiwemo hapa Jf tufarakane
 
Kwa hiyo shule inamilikiwa na nani!
Naamini ni ya serikali, ni kati ya shule kongwe kabisa nchini, jamii ya Ilboru, Mazengo, Kilakala etc! aidha nadhani ilikuwa ya kanisa na ilitaifishwa enzi za Siasa NI kILIMO!
 

point kabisaaa,angekuwepo mwanangu ningekuwa jela tayari,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…