Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Inawezekana huwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Hizi hapa shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;

10. American international school, Zambia (annual fee 22,070$)

9.Hilton college,South Africa (Annual fee 22,596$)

8. International Community school of Abidjan, Ivory Coast (Annual fee 23,400$)

7. Lincoln community school,Ghana (Annual fee 26,276$)

6. Cairo American college,Egypt (Annual fee 26,500$)

5. Kampala International school, Uganda ( Annual fee 26,918$)

4. Al farouk language school,Egypt (Annual fee 28,783$)

3. International school of kenya, Kenya (Annual fee 31,142$)

2. American international school, Nigeria (Annual fee
31,228$)

1. International school of Tanganyika,Tanzania (Annual fee 32,000$)
Hii ya Tanganyika tuna matunda yake?
Nani ambaye ni nani alisoma hapo?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-07-27-08-14-28-948_com.google.android.apps.docs.jpg
    Screenshot_2025-07-27-08-14-28-948_com.google.android.apps.docs.jpg
    230.4 KB · Views: 9
Hizo shule sio kwa ajili ya elimu tu...ni kwa ajili ya koneksheni...wanaosoma hapo wanaandaliwa kuwa CEO,s wa kampuni ..Wanasiasa nk . Hivyo ukidhani unampeleka mtoto hapo asome amalize apate ajira unapoteza hela.
Ila kwa Tanzania hakuna mwanasiasa mkubwa ngazi ya uwaziri aliyesoma hizo shule
 
Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Huu uongo..hakuna shule inaizidi IST
 
Mkuu mimi nimewahi kufanya kazi na International school karibu zote ikiwemo hiyo St Constantine.. nazijua vizuri sana. Kwa hapa Tanzania ni IST, Braeburn na DIA ndo wanaongoza kwa bei ghali.
Acha hizo mkuu SCIS wana bei kubwa kuliko Breaburn na ISM hata DIA
 
Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
St Constantine sio ghali kama IST karo yao kubwa ni elfu 11 au to round off 12 labda ukijumlisha na boarding/wanaokaa shuleni basi itafika elfu 20.
 
Wanafundishwa kwa mtaala wa IB... unafuatwa saana Marekani.

IB -International Baccalaureate kwangu ni moja ya mitaala mizuri saana ikifuatiwa na Cambridge.
Sawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??
 
Sawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??
Naona uvivu kuandika samahani pia.
Ngoja nikutolee mfano.
Cambridge wao primary wanasoma masomo matatu English, Science and mathematics. Masomo mengine shule ikiamua kusupplemnt ni sawa ila hayo ndiyo masomo wanayofundishwa. Mtoto aliyepo Shanghai na aliyepo Arusha wanasoma kitu kilele ndiyo maana zinaitwa international school....ufundiswaji wake mzuri saana...hii mada ya siku nyingine.[competency based]

IB wao wapo tofauti kidogo focused ipo kwenye Language, literature, science, technology, Maths, Arts.
Diploma yao inaanzia miaka 16....hakuna cha form 4 5 au 6.... Wanatumia PYP, MYP, DP n.k
 
Sawa hivyo najua..yani haswa wanafundisha civics ileile..bios ileile na physics ile ile..ama ukute wao wanajua hadi newtons fourth law of motion..??
Wana tofauti kubwa sana mzee wezetu kwenye mitaala yao imefocous zaidi kwenye critical thinking wakati kwenye mitaala yetu tumefocous zaidi kumfanya mwanafunzi awe na uwezo wa kukumbuka vitu kwahiyo ata kwenye mbinu za ufundishaji zinakua tofauti kabisa ata kama physics ni ile ile pia izo shule za international school sio kila mtu anaweza kuwa mwalimu kama kwenye shule zetu hizi za ajabu huwezi eti kutoka huko kwakua umehitimu kidato Cha SITA na unaweza physiciscs eti ukaze TU kwenda kufundisha tu kama kwenye mashule yetu Aya ya ajabu
 
Back
Top Bottom