Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Duuh labda kama wamepandisha hivi karibuni ila miaka yote IST ndio ilikuwa inaongoza, hiyo Constantine ilikuwa ya Tano sijui huko ilizidiwa hadi na DIA na Braeburn, by the way hivi hiyo International School of Moshi ndio alisoma yule last born wa Kikwete Rashid
 
ila st constantine haina future nzuri kwa watoto. shule nzuri bongo ni IST, haven of peace na zile za arusha mbazo Kennedy House, Braibert, Iringa international school na Moshi international. nimetazama st constantine arusha, naona inarange kwenye dola $12,000 ambayo ni ndogo sana ukilinganisha na hiyo miamba mingine. aliyesema st constantine ndio ionaongoza bongo atakuwa ameangalia kuwa hapo mmecount kwa dola sio madafu?
 
Duuh labda kama wamepandisha hivi karibuni ila miaka yote IST ndio ilikuwa inaongoza, hiyo Constantine ilikuwa ya Tano sijui huko ilizidiwa hadi na DIA na Braeburn, by the way hivi hiyo International School of Moshi ndio alisoma yule last born wa Kikwete Rashid
Rashidi =Chodo
 
amekaa kama ana kichwa cha kantalamba high school ya swekeni huko, tofauti kabisa na dogo benjamin fenandes wa Haven of peace. alitakiwa akae international, asikae sawa tu na kina juma nature.
Hahahaha
 
Back
Top Bottom