Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
Nimefanya projects na organisation ya shule hizi kwa Sub-Saharan wanaita ISASA.Mkuu una exposure kubwa si haba. Unafunsisha kwenye hizi shule ama huwa unafanya nao projects gani?.
Nimefanya projects na organisation ya shule hizi kwa Sub-Saharan wanaita ISASA.Mkuu una exposure kubwa si haba. Unafunsisha kwenye hizi shule ama huwa unafanya nao projects gani?.
UsengeremaKwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
ISM na IST ni wamoja Mkuu,ila sikubishiiP funky hajasoma IST,kasoma shule ya kimataifa Moshi
Yes bro halafu kitu kingine kasoma darasa Moja na Mzungu kichaa,ndio maana Hadi Leo marafiki na wame produce Ngoma kibao pamoja..ISM na IST ni wamoja Mkuu,ila sikubishii