Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,558
- 41,315
Wengi wanasomeshwa na wazazi wakiwa wapo vizuri inakuja kutokea mzazi anafariki harafu ajatengenezewa njia ndio inatokea hivyo ila wengi wa sasa hivi watoto wao wanawaanzishia miradi yao..Kuna mengine ni majinga,kuna moja aliomba ajira ya serikali badaye akapata akaja kuambia mshahara ni 1M akafanya miezi 2 ndio akaacha.