Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Shule 10 ghali zaidi barani Afrika

Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
SijaelewA vema rudia
 
ila st constantine haina future nzuri kwa watoto. shule nzuri bongo ni IST, haven of peace na zile za arusha mbazo Kennedy House, Braibert, Iringa international school na Moshi international. nimetazama st constantine arusha, naona inarange kwenye dola $12,000 ambayo ni ndogo sana ukilinganisha na hiyo miamba mingine. aliyesema st constantine ndio ionaongoza bongo atakuwa ameangalia kuwa hapo mmecount kwa dola sio madafu?
Ok sawa mkuu ushajua na ubora wake upo vizuri..
 
Naona uvivu kuandika samahani pia.
Ngoja nikutolee mfano.
Cambridge wao primary wanasoma masomo matatu English, Science and mathematics. Masomo mengine shule ikiamua kusupplemnt ni sawa ila hayo ndiyo masomo wanayofundishwa. Mtoto aliyepo Shanghai na aliyepo Arusha wanasoma kitu kilele ndiyo maana zinaitwa international school....ufundiswaji wake mzuri saana...hii mada ya siku nyingine.[competency based]

IB wao wapo tofauti kidogo focused ipo kwenye Language, literature, science, technology, Maths, Arts.
Diploma yao inaanzia miaka 16....hakuna cha form 4 5 au 6.... Wanatumia PYP, MYP, DP n.k
Shukrani sana mkuu atleaat umenifungua macho..ujue nilikua gizani sana kuwa huwa kipi hasa kinachofanya adi ada ziwe usd 30000
 
Kwann mkuu mbona Ada ni nafuu na yakizalendo kabisaa
Mkuu hapo ni kina kirefu..nikileta ujinga hakuna mtoto au mjukuu atasoma hapo...kwanza kitu kipya kwangu kuna jamaa kasema wanaomba adi bankstatement ..kwamba isijekua nimepata jackpot ya tatu mzuka nikampeleka mtoto afu next year tukaanza kukimbizana ada 😁😄😄😄
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna kipindi ilibidi niwepo hapo International school of Tanganyika,

Sio kwa ajiri ya kusoma.. laaa hasha niliomba kazi ya kufanya usafi wa kudumu ambako mshahara wake ulikua nono mkuu
Mkuu hebu elezea kidogo huko kuna A for apple...??
 
Mkuu hebu elezea kidogo huko kuna A for apple...??
Ahahahaha hamna hayo mambo alafu uwezi amni an mfanya usafi nilifanyiwa interview full English wale mbwa wana hatare..

Nikaulizwa important of solar system manina zao 😁😁😁😁😁😁

Nikaja kuulizwa why we use pendulum bob to determine gravitation
 
Mpwa wangu Mmoja kaolewa na jamaa aliesoma IST levo za chini, sema university akaja kusoma business administration pale Tumaini university.

Walioana mpwa, jamaa akiwa jobless, na mpwa akiwa nesi, Cha ajabu mwaka 2010 jamaa Alikataa ajira ya serikali kisa mshahara mdogo (ilkua 1.5m)

Kuna mengine ni majinga,kuna moja aliomba ajira ya serikali badaye akapata akaja kuambia mshahara ni 1M akafanya miezi 2 ndio akaacha.
Mzee Deep Pond soma tena comment yangu
Ngoja nisome tena
 
Mimi nilisoma na jamaa mmoja wa hiyo IST..ni ali disco chuo..sasa je aliewahi kupita huko huwa wanafundisha masomo gani na style gani??
Hapa Kama umetupiga mkuu hapo Ada kwa mwaka sichini ya mi45 mtaji wabiashara na wanatumia mitaara ya njee nigumusana kumi kuta Udom au UDSM Mtoto aliesoma hapo wengi wanaenda njee kusoma chuo
 
Mimi nilisoma na jamaa mmoja wa hiyo IST..ni ali disco chuo..sasa je aliewahi kupita huko huwa wanafundisha masomo gani na style gani??
Chuo gani hiko mlichosoma maana ist wanatumia mitaala tofauti na ya kwetu, sijawahi kuona mtu kasoma ist kaja hivi vyuo vyetu, yaani kutoka kulipia ada m70 Kwa mwaka Kuja kwenye hivi vyuo vyetu vya 1.5M Kwa mwaka, hata hao wazazi wake watakua wapuuzi
 
Mpwa wangu Mmoja kaolewa na jamaa aliesoma IST levo za chini, sema university akaja kusoma business administration pale Tumaini university.

Walioana mpwa, jamaa akiwa jobless, na mpwa akiwa nesi, Cha ajabu mwaka 2010 jamaa Alikataa ajira ya serikali kisa mshahara mdogo (ilkua 1.5m)

Ngoja nisome tena
Mzazi kumsomesha mtoto ist alafu aje kusoma chuo tumaini ni ujinga wa Hali ya juu Sana
 
St Kayumba School of Watanzania ada ni bure...ila ni kuna hiyo michango wanayojiamulia waalimu..INAFIKIA KITITA CHA AFSABINI kwa MWAKA😄
 
Chuo gani hiko mlichosoma maana ist wanatumia mitaala tofauti na ya kwetu, sijawahi kuona mtu kasoma ist kaja hivi vyuo vyetu, yaani kutoka kulipia ada m70 Kwa mwaka Kuja kwenye hivi vyuo vyetu vya 1.5M Kwa mwaka, hata hao wazazi wake watakua wapuuzi
HUyo jamaa mama yake alikua anafundisha hapo IST na ndio alipata favor ya kusoma hapo..
 
Back
Top Bottom