financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,135
- 40,702
Tuvumiliane tu babe Ugumuππππππππ
Tuvumiliane tu babe Ugumuππππππππ
Mungu mwema binti yangu no.4 kalipa one ya baba yake kweli historia inajirudia. Tabora GirlsBaraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 72.
Msonde amesema Kemebos ya Kagera yenye watahiniwa 35 imeshika nafasi ya pili ikifuatiwa na Dareda ya Manyara watahiniwa 101.
Nafasi ya nne amsema imechukuliwa na Tabora Girls yenye watahiniwa 100 ikifuatiwa na Tabora Boys yenye watahiniwa 120.
Nafasi ya sita imeshikwa na Feza Boys ya mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa na watahiniwa 71 ikifuatiwa na Mwandet ya Arusha yenye watahiniwa 53.
Zakia Meghji imeshika nafasi ya nane ikitokea mkoani Geita. Ilikuwa na watahiniwa 31, ikifuatiwa na Kilosa ya Morogoro yenye watahiniwa 91, na Mzumbe watahiniwa 135.
=====
Izi hapa shule 10 zilizofanya vizuri zaidi mwaka 2021
1.KISIMIRI
2.KEMEBOS
3.DAREDA
4.TABORA GIRL'S
5.TABORA BOY'S
6.FEZA BOY'S
7.MWANDET
8.ZAKIA MEGHJI
9.KILOSA
10.MZUMBE
LINK YA MATOKEO IYO APO
Umeuliza swali nililotaka kuuliza nikiongezea Kibaha na IlboruPugu, azania, tambaza n.k zinazalisha vilaza tu siku hizi