Hizi hapa shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2023

Hii kweli ni Nukta,

Maana Vyanzo ya kuaminika vilishapigwa pin kutangaza.
 
Baada ya Hesabu na masomo ya saiyansi kwa ujumla (Physics, Chemistry Biology na Adv Mathematics ) kuongoza kwa ufaulu binafsi nimekosa pozi la kuyafuatilia.

By the way, Ranking yako ni Fake (ya uongo) kwa kuwa shule zinapangwa kwa groups kulingana na idadi ya wanafuzi.

Huwezi kulinganisha shule/darasa lenye wanafunzi 17 na shule/Darasa lenye wanafunzi 180

hawa wamefanya utafiti kwa mujibu wa gpa wameweka hiyo list. Na wewe leta utafiti wako kwa vigezo vyako.
 
Back
Top Bottom