Oh very sorry for the death of yr mom,japo wengine hatukuipata hiyo habari lakini tunaamini bado pole zetu zitakufariji.Jipe moyo na mshukuru mungu kwani hukupa umuombavyo na usivyomuomba pia,JF is another home for everyone except hao wanaoingia kwa kutumwa kazi maalum lakini kama uliingia kwa utashi wako utapata many friendz wasio na kikomo cha keyboard tu.Pamoja!!