Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Karibu tena na mungu akupe nguvu na akutangulie ili uweze kufanya shughuli kama kawaida
 
Pole sana mpendwa na karibu tena jukwaani..Unfortunately hizi zimekuwa habari mpya kwangu kwani for about 2 months ago, ushiriki wangu humu jukwaani umekuwa wa mashaka for some other good reasons....Pole once again na Mwenyeezi Mungu aendelee kukutegemeza!
 
Pole sana smile ndo dunia.

Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom