Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Smile,
You are a friend, you are a sister,
you are a family member, you are a partner,
above all, you are part of JF where we dare to talk, love and care,
always remember, in here you got friends,
friends who will stand for you all the times.

R,I.P mama Smile and may Almighty grant you an eternal rest in his arms
thax my dear friend
asante sana kwa ushurikiano wako since mama ni mgonjwa aisee...nakumbuka ubarikiwe sana
one love brother1
 
Mungu ambaye ndiye mfariji wetu azidi kukufariji kila iitwapo leo na azidi kukubariki.
Duniani wote tu wasafiri ni suala la wakati tu na nani atamtangulia mwenzake. Karibu tena JF!
thax dear nipo nipo
 
pamoja Smile pole sana once again kipenzi
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kushukuru, Mungu azidi kuwapa nguvu ww na familia yenu yote
 
tafadhali dear smile nimekuwa mbali na keyboard kwa muda sasa niko msituni ila sitaumaliza huu mwaka bila kurudi mjini,japo leo nimeyaona walau magari nlipokuja kuchukua mahitaji... Pole kwa yaliyokufika wa poti wangu na Mungu akujaze faraja... Nijuze kuhusu hayo ya tanga naona tu yanazungumzwa humu, pengine naweza anzia hapo tafadhali
 
sory kaka mambo yalikuwa mengi kweli .ila nilitamani sana kuja kuwaona lakini nikawaza kwa vile tar 28 tutakuwa wote mapangoni tanga nikaona niache tu tutaonana pangoni
nikushukuru kipekee na team yako bwana mbarikiwe sana sana

mbona Smile umezidisha neno kaka kaka kaka kaka kwani PakaJimmy yukoje mwenzangu ,unantisha smile mwee unapiga zizki teke mweeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
tafadhali dear smile nimekuwa mbali na keyboard kwa muda sasa niko msituni ila sitaumaliza huu mwaka bila kurudi mjini,japo leo nimeyaona walau magari nlipokuja kuchukua mahitaji... Pole kwa yaliyokufika wa poti wangu na Mungu akujaze faraja... Nijuze kuhusu hayo ya tanga naona tu yanazungumzwa humu, pengine naweza anzia hapo tafadhali
NGOJA NIKUPE MSEMAJI MKUU BWANA PakaJimmy ila kama upo sirias nipm
 
Last edited by a moderator:
jioni nitakucall nataka nile sikukuu ya mwaka mpya na wewe na lara

haya bwana nitashukuru sana sanasaana mwanangu hembu ongea na mama yako hapa mbontafoo Smile hahahahahah napenda sana hilo tangazo
 
Last edited by a moderator:
tafadhali dear smile nimekuwa mbali na keyboard kwa muda sasa niko msituni ila sitaumaliza huu mwaka bila kurudi mjini,japo leo nimeyaona walau magari nlipokuja kuchukua mahitaji... Pole kwa yaliyokufika wa poti wangu na Mungu akujaze faraja... Nijuze kuhusu hayo ya tanga naona tu yanazungumzwa humu, pengine naweza anzia hapo tafadhali
Mkuu, katika vikao vyetu, JF-Arusha -Wing tuliamua kutoka au kufanya safari moja ya kufunga mwaka, wadau wakapropose Tanga.
Hivyo tarehe 28/12/2012 tutaenda kuzuru mji wa Tanga.Michango imeshaanza, maana tutakwenda na kurudi kwa pamoja.
Tunachanga tentatively tshs 100,000 kwa kila mtu, lakini gharama halisi zitajulikana kwa jinsi tunavyosogelea siku!
Vipi tukuwekee siti?
Jibu mkuu!
 
nashukuru mkuu PJ narejea Arusha tar 22 jmos,..ni matumaini yangu nitajumuika katika huo msafara japo nimepitwa na mengi kama JF- Ars wing. Kuna uzi mmoja nimeona una kichwa cha habari kama hicho wacha nifatilie nijue zaidi kinachoendelea. Pamoja na yote hayo si mbaya mkinihesabu katika msafara Mola akinifikisha salama hiyo tarehe.. Thanks much Mkuu
 
Mkuu, tutafurahi sana kuwa nawe kwenye safari hii...
Nakuombea safari njema ya kurudi...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom