Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Karibu sana mpendwa wetu Smile..... kwa kweli nimefurahi sana kukusikia tena hapa ukumbini.
halafu mbona nimejaribu sana kupiga tena simu yako haipatikani na wakati mwingine inaita tuuuuuu? hata hivyo sikuwa na jipya nilikuwa nataka kukusalimu tu.......
Karibu sana my dear
 
Last edited by a moderator:
sory kaka mambo yalikuwa mengi kweli .ila nilitamani sana kuja kuwaona lakini nikawaza kwa vile tar 28 tutakuwa wote mapangoni tanga nikaona niache tu tutaonana pangoni
nikushukuru kipekee na team yako bwana mbarikiwe sana sana

Karibu sana Smile! Pole na yaliyokupata. Hope to see you in Tanga! We love U dear!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mpendwa wetu Smile..... kwa kweli nimefurahi sana kukusikia tena hapa ukumbini.
halafu mbona nimejaribu sana kupiga tena simu yako haipatikani na wakati mwingine inaita tuuuuuu? hata hivyo sikuwa na jipya nilikuwa nataka kukusalimu tu.......
Karibu sana my dear
asante sana dear, pia nisamehe kuhusu simu ile simu saa zingine nakuwa sipo na simu dear maybe ipo kwa pochi ..nisamehe tu bure sio wewe tu unanikosa naomba hata na wengine ambao sikuweza kupokea simu zenu mnisamehe maana hata Ritz alinilaumu pia nimeona mahali kaandika ..ila kiukweli nimepokea simu nyingi sana humu jf hadi za afghanistan nadhani..nawashukuruni sana
 
usijali mpendwa.....
karibu sana
 
Thanx for appreciation uungwana ni kitendo may your Mum rest in eternal peace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom