Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Here i am Babu,Nyie warembo wawili, hebu mmoja wenu a-come this way aninyweshe Tusker malt ya mbeho!
Lkn si hujamaliza dozi Babu,naimajin ulivoimissije!!!!!
Here i am Babu,Nyie warembo wawili, hebu mmoja wenu a-come this way aninyweshe Tusker malt ya mbeho!
arifu hili ndo lipi?....
Nyie warembo wawili, hebu mmoja wenu a-come this way aninyweshe Tusker malt ya mbeho!
Majani korofi yangekuwa halali...dah
Halafu wewe Kongosho wewe....
Endelea tu kunifata fata uone!
Mkuu, tangu nilipotest kufanya nayo mapenzi, nimenogewa mazima mpaka nimeamua kuoa kabisa.Hivi ile tusker malt ni nzuri? Yaelekea umeimiss sana...maliza kwanza dozi...
Nimefuatilia kwa makini prescriptions zote za madaktari wote walionitibia...... Hakuna sehemu waliyoandika nisitumie Tusker baridi..... M nafuatilia sana masharti ya matabibu bana.... Niliambiwa nihakikishe nakula kwnza kabla sijameza dawa, nikatii. Nikaambiwa nihakikishe napumzika muda mrefu, nikatii. Nikaambiwa nile matunda kwa wingi, nikatekeleza..... Sikuambiwa nisinywe taska malt baridi, kwahiyo najinywea zangu tu..........Here i am Babu,
Lkn si hujamaliza dozi Babu,naimajin ulivoimissije!!!!!
Inamaana hawajakwambia usinywe pombe?Nimefuatilia kwa makini prescriptions zote za madaktari wote walionitibia...... Hakuna sehemu waliyoandika nisitumie Tusker baridi..... M nafuatilia sana masharti ya matabibu bana.... Niliambiwa nihakikishe nakula kwnza kabla sijameza dawa, nikatii. Nikaambiwa nihakikishe napumzika muda mrefu, nikatii. Nikaambiwa nile matunda kwa wingi, nikatekeleza..... Sikuambiwa nisinywe taska malt baridi, kwahiyo najinywea zangu tu..........
At least najua hata nikifa kuna wa kunililia kwani kuna ubaya gani? Wanakufa wabunge seuze ODM? Taifa litapata hasara gani?Inamaana hawajakwambia usinywe pombe?
Au ww ulisubiri mpaka wataje Tusker barudi jaman!
Haki ya mungu km hujamaliza dozi kunywa na hiyo Tasker baridi yako uone km haujafa!!!
Kwaiyo wewe babu kwa vile unajua tupo wa kukulia ndio unataka ufe????!!At least najua hata nikifa kuna wa kunililia kwani kuna ubaya gani? Wanakufa wabunge seuze ODM? Taifa litapata hasara gani?
Ngoja niijaribu...naweza nikawa mwanachama mwenzako!!!Mkuu, tangu nilipotest kufanya nayo mapenzi, nimenogewa mazima mpaka nimeamua kuoa kabisa.
Ile makitu ni noma mazee.....
Hutajuta na hutaiacha.... ni tamu kuliko kikojoleo cha mwanamke asee.....Ngoja niijaribu...naweza nikawa mwanachama mwenzako!!!
Na kwakumalizia ningependa hata tangazo la Condom pia lisiwachwe nyuma ili watu waache kwenda Pekupeku!
haya ni mashona nguo......?
Kwaiyo wewe babu kwa vile unajua tupo wa kukulia ndio unataka ufe????!!
Najua kwa sasa ushapona ndio maana unaongea hizi habari pale juzi katii lol!
Wala usitake kutudanganya hapa kbs,ww unavoogopa kifo!!!!
View attachment 46004Nimepeda tu rangi ya hiki kinywaji! Green for life!!