Shukrani Mods kwa tangazo la Ndovu bariidi

Majani korofi yangekuwa halali...dah

medical-marijuana1.jpg

haya ni mashona nguo......?
 
Here i am Babu,
Lkn si hujamaliza dozi Babu,naimajin ulivoimissije!!!!!
Nimefuatilia kwa makini prescriptions zote za madaktari wote walionitibia...... Hakuna sehemu waliyoandika nisitumie Tusker baridi..... M nafuatilia sana masharti ya matabibu bana.... Niliambiwa nihakikishe nakula kwnza kabla sijameza dawa, nikatii. Nikaambiwa nihakikishe napumzika muda mrefu, nikatii. Nikaambiwa nile matunda kwa wingi, nikatekeleza..... Sikuambiwa nisinywe taska malt baridi, kwahiyo najinywea zangu tu..........
 
Inamaana hawajakwambia usinywe pombe?
Au ww ulisubiri mpaka wataje Tusker barudi jaman!
Haki ya mungu km hujamaliza dozi kunywa na hiyo Tasker baridi yako uone km haujafa!!!
 
At least najua hata nikifa kuna wa kunililia kwani kuna ubaya gani? Wanakufa wabunge seuze ODM? Taifa litapata hasara gani?
 
Kwaiyo wewe babu kwa vile unajua tupo wa kukulia ndio unataka ufe????!!
Najua kwa sasa ushapona ndio maana unaongea hizi habari pale juzi katii lol!
Wala usitake kutudanganya hapa kbs,ww unavoogopa kifo!!!!
 
Na kwakumalizia ningependa hata tangazo la Condom pia lisiwachwe nyuma ili watu waache kwenda Pekupeku!

Hii ndiyo ya Muhimu kuliko hata hiyo ndovu. Ila nadhani Ndovu wanasponse Jf. Siwashauri mkazini, lakini pia niwashauri kuwa makini.
 
Kwaiyo wewe babu kwa vile unajua tupo wa kukulia ndio unataka ufe????!!
Najua kwa sasa ushapona ndio maana unaongea hizi habari pale juzi katii lol!
Wala usitake kutudanganya hapa kbs,ww unavoogopa kifo!!!!

canta akifa babu utalia?
 
Waweke basi na lile la kile kinywaji! ambayo kiwanda chake kimeangaliana na stendi ya mkoa ubungo.
POPOOOOO!
 
Back
Top Bottom