Shukrani Mods kwa tangazo la Ndovu bariidi

Shukrani Mods kwa tangazo la Ndovu bariidi

Mama....kuna watu wanaweza kuandamana kuwa jf imekuwa klabu ya mvinyo.....si unajua hizi dini zetu....hukumbuki mwanamama yule wa nyimbo za injili aliponea chupuchupu kutengwa kanisani kwao kisa alifadhiliwa na kampuni maarufu kwa uzalishaji wa mvinyo yenye jina la mlima maarufu......

Acha hio.... Wanadamu tupo so hypocritic, Hebu angalia HAPA, Unataka kuniambia kua katika hilo kundi la watu ambao wamemzonga huyo dada na baba hakuna alowahi fanya hivo? SAD! Unafiki tu ndio umetujaa wanadamu.
 
Na kwakumalizia ningependa hata tangazo la Condom pia lisiwachwe nyuma ili watu waache kwenda Pekupeku!
 
Acha hio.... Wanadamu tupo so hypocritic, Hebu angalia HAPA, Unataka kuniambia kua katika hilo kundi la watu ambao wamemzonga huyo dada na baba hakuna alowahi fanya hivo? SAD! Unafiki tu ndio umetujaa wanadamu.
hujui ile kwako kosa kwangu bahati mbaya........lakini hiyo si huyo mjasiriamali alikuwa anagombania haki yake....nasikia client alitaka kukwepa ongezeko la thamani VAT.....
 
Mi naomba watoe hiyo makitu watuwekee ta Tusker Malt Baridiiiiiiii!
hii mkuu ina mshindo nyuma AKA hangover.....BTW lakini haka ka chupa ka kijana ko sexy sana.....sema rangi yake ukiwa unagida funda inaleta hasira kidogo
 
thanks.jpg
 
Mi naomba watoe hiyo makitu watuwekee ta Tusker Malt Baridiiiiiiii!

Ile kitu aliyeigundua Mungu ameshamsemehe dhambi zake zote......

Huwezi gundu makitu tamu namna ile afu ukaenda motoni....Never!
Hahahahahah!
Babu noumer!!!!
 
Naungana na wewe kuwashukuru Mods ni kama vile kula ugali kwa picha ya Samaki
 
Back
Top Bottom