Nimemkubali huyu mama. Yeye mwenyewe anajiamini. Big up prof.Good mama Tibaijuka_nivumilie nikuite Iron Lady wa Tanzania,.wewe sio muoga ila ni makini wa mambo..wish you long life.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nimemkubali huyu mama. Yeye mwenyewe anajiamini. Big up prof.Good mama Tibaijuka_nivumilie nikuite Iron Lady wa Tanzania,.wewe sio muoga ila ni makini wa mambo..wish you long life.
mkuu Tibaijuka zingatia huu ujumbe kwani vijana wengi watakao kuhoji miongoni mwao usikute ni wasaidizi wako unaofanyanao kazi kila siku.!!Safi sana mama Tibaijuka, umetoa kipande cha habari kinachoelewa sana, ila mi napenda kukupa tahadhari hapo kwenye red, majibu yawe "evidence-based reprting" kwelikweli, vinginevyo ukija na majibu ya Bungeni, mmh! humu jamvini kuna vijana wana facts zinazojumuisha picha, sauti, historia na vinavyohusiana.
Naam, karibu sana.
Mimi ningependa kujua, kwanza, JF uliisikia/umeijua tokea lini?
Pili, je, nini kimekupa msukumo hadi kutaka kujiunga sasa na si hapo awali?
Na katika kujiunga huku, na kwa kuzingatia nafasi uliyonayo serikalini, je, umepata baraka/ruhusa labda kutoka wakuu wako wa kazi?
Sijui kwanini nilitegemea ungemuuliza kama anajua kiwango cha mshahara wa Rais.
Nimechemka!