Shukrani kutoka kwa Mtambuzi na mama Ngina kwa wana JF….

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
flower3.jpg


Kwa heshima kubwa tunapenda kutoa shukrani zangu pekee kwa wana JF ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki nasi katika kutufariji katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mama wa mke wangu na mama mkwe wangu.

Marehemu mama mkwe alifariki Jumanne tarehe 30/4/2013 na kuzikwa Ijumaa tarehe 3/5/2013 mkoani Kilimanjaro. Mama Mkwe amefariki akiwa na umri wa miaka 79 na ameacha mume na watoto 9, watoto wa kiume watano na wa kike wanne, pamoja na wajukuu 16. Shukrani za pekee zimuendee Bwana Mwita Maranya kwa kutoa taarifa kwa wana JF kuhusu msiba tuliyoupata. Tangu kuwekwa kwa taarifa hiyo, hapa JF nilipokea simu nyingi sana na ujumbe wa simu ya mkononi kutoka kwa wadau mbalimbali wa JF wakitupa pole na kutufariji.

Shukrani zangu ziwaendee wana JF wote kwa umoja wao na ushirikiano. Nisingependa kutaja jina la kila mmoja ili kuonyesha shukrani zetu lakini naomba nitambue ushiriki wa hawa wafuatao ambao walishiriki nasi bega kwa bega katika msiba wa mama yetu mpendwa.

Tunapenda kutambua ushiriki wa Pasco, Mwita Maranya, Maxence Melo, Asnam, Kipipi, charminglady, Bujibuji, Kipaji Halisi, Mentor, Madame B, sweetlady, Paloma, FirstLady1, Mamndenyi, King'asti, Bishanga, AshaDii na KOKUTONA.

Pia tungependa kutambua ushiriki wa KakaKiiza, Babu DC Dark City, BAK, Ruttashobolwa, Zahra White Kaizer mdida ZeMarcopolo, Boflo, Kiranga, TIQO, sakapal, Neylu, Nivea, Chauro, Preta, LiverpoolFC, Arushaone, Mungi, Don Mangi, Erickb52, kitalolo, marejesho, Blaki Womani, platozoom, Jackbauer, nitonye, Samaritan, Dingswayo, kuberwa, Somoche, Tized, Toria, @RR, @FP, Borat69, Mtoto halali na hela, MankaM, UmkhontoweSizwe, Baba V, Chum Chang, Lady doctor, Mayasa, Mzee wa Rula, Katavi, bucho, Passion Lady, BADILI TABIA, Lyagwa, saragossa, Mwanaweja, mwaJ, Swts, neggirl, Chocs, Teamo, Angelicious, jeneneke, queeny, vanmedy, MMAHE, MY LOVE, Mrembo by Nature, PakaJimmy, Lokissa, Jiwe Linaloishi, ram, kabanga, Tetra, Ndoa, Munkari, MziziMkavu, Zion Daughter, raiza, Elizabeth Dominic, mimisa, Mr Rocky, ladyfurahia, snowhite, HorsePower, jouneGwalu, idawa, Thanda, Rich woman, ndetichia, moto2012 na wengineo ambao walishiriki nasi kwa njia moja ama nyingine.

Tunasema ahsanteni sana.
 
Mtambuzi
  • Do not forget the importance of being thankful to God for all that He does for you!
  • Things become confusing when people are not close to God.
  • People profess skepticism and doubt when they do not have a relationship with God.
  • Do not forget the importance of being thankful to God for all that He does for you!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtambuzi, Mungu awape nguvu na ujasiri kwa kipindi hiki cha upweke! Sote tutaendelea kumuombea rekhma za Mwenyezi Mungu! Mama yetu bila shaka aliiishi maisha yaliyo bora akamwambukiza mama Ngina mpaka mkuu ukampoint, basi nanyi waleeni wanenu katika njia zilizo bora!
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mtambuzi pamoja na mama Ngina tuko pamoja. Tunawaombea tu kheri ili mwenyezi Mungu azidi kuwapa nguvu ya kuishi bila uwepo wa mama. Jambo kubwa zaidi na la msingi ni kuendelea kuishi mkimpendeza Mungu ili itakapofika zamu yenu basi muwe tayari, kwakuwa wote ni wapitaji hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom