Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Mzigo ukiwa ndani ya kipedo bhasi unawatia watu fadhaa.
 
ila shehe wa alasala siku 1 alianza kuhubili siasa hasa mauaji ya chadema arusha sakata la meya ikatoke mwislam 1 wa hukohuko arusha alimchana shehe wazwaz aiache chadema kama ilivyo yeye hausiki wao wanaarusha ndio walioipa kula shehe akaelewa somo
 
kuchangia kwako mpira...kuchangia kwako uzinduzi wa mamiss,mamiss wanawake wanaonyesha shape zao,maumbile yao.....mmmmh mashindano wanashindwanishwa....mashindano kabisa ni nan mwanamke mzuri zaid......mm mwenyewe napenda miss bantu....mwanamke mnene mnene aliojazia neema za allah....hatari sana
 
ndugu yangu HAMI hiyo dini yenu kama ndio ingekua inatafuta washirika kwa upendo hivyo kweli ingepata sana wateja hasa huku bara ambako robo 3 wote ni wakristo kani kwa style ya alshababu, bokoharam, alkaida na sereka wa2 wanasilim siku 2 tu wanarudi

Mkuu dini sio siasa, dini zenyewe hazitafuti watu Ila watu ndiyo huitafuta watu. Ukiona mtu anahamahama dini au dhehebu juwa imani yake dhaifu juu alikua akiamini akiwa pale. tumeona watu wakihama
wengine wakifuata maslahi Fulani tu.
 
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.

Hata mimi napenda kusikiliza sana mahubiri yake. Kwa kweli mawaidha yake hayahamasishi uvunjifu wa amani bali anaelimisha kuhusu neema za Allah, maisha yetu na mahusiano yatu hapa duniani na mambo ya peponi. Hizi hapa chache kati ya video clip zake. Hongera Sheikh Hilali Kipozeo kwa kudumisha amani

<strong>





 
Last edited by a moderator:
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.

I see, sijacheka tangu asubuhi leo, hapa nimecheka sana kwa hii sred, kuanzia wewe mwenyewe mpaka wachangiaji wako Bujibuji! "...mimi wembamba sipendi, labda itokee tu, mimi napenda wale waliojazia jazia, nyama nyama alizowaruzuku m. mungu"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom