Sasa hayo makalio ndio mnayafanya nini, hebu fungukeni nyie wanaume.. Au mnapenda GOTI?
Bora nibakie hivi hivi tu aiseee hilo refu mno duh!!!!
Sasa hayo makalio ndio mnayafanya nini, hebu fungukeni nyie wanaume.. Au mnapenda GOTI?
niwe natembea barabarani afu mwanamke wa hivi awe mbele yangu huwa naona aibu sana. ntatembea fastafasta nimpite.
View attachment 187918
Hapo ukimuweka mtoto mchanga aegemee(kinyumenyume) haanguki.
Ukichukua glasi yenye maji ukiweka na maji yake hapo hayamwagiki.
Ukichukua mchanga ukiweka haushuki labda upepo tu unaweza peperusha kiasi.
Mwenyewe anajijua ndio maana amefanya pozi hilo
Yangu nilienda kuyapunguza maana ilikuwa kero mtaani.
Du yakapunguzika?
Uganda nilienda.
Unachomwa sindano...na kupewa dawa za kunywa.
Basi yanapungua taratibu mpaka hatua unayotaka.