Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,056
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.

Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.

Hatari sana.

==========
Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah

==========
Kaka katika uislam kuna waumini wa namna 3.

1.Kuna Khofu-l-ibadaat(Ibada ya Watumwa).

Hii ni aina ambayo watu wake hufanya ibada kwa kumuogopa Allah kutokana na ukubwa wake na adhabu ya Moto wa Jahannam...Kama sheikh atakua amekua katika kundi hili ni Sheikh ambae yeye huwa anajikita sana katika kukataza maovu na kuwataka watu wamtumikie Allah....Masheikh hawa huwa wakali wanapoona maovu...au dhulma ya aina yoyote ile.

2.Ibaadat Tijaara(Ibada za Matajiri).
Hi ni aina ya waumini ambao wao hufanya Ibada kwa ajili ya kutaraji malipo...watu wa namna hii wao wanamuogopa Allah.. ila wao..juhudi zao za ibada zinalenga sana katika kupata malipo ya kazi wanayoifanya...hili ndo kundi la kina Sheikh Kipozeo...wala tusimlaumu kwa yeye kua hivi..kwa sababu haya ni maumbile na ilimu ya Uislam unalielewa hili.....Masheikh wa namna hii huwa wanatoa mawaidha makali ya kukataza maovu na kuzuia dhulma....ila mara nyingi huwa katika muundo wa kuwaasa watu kua wakifanya maovu kutapelekea wao kukosa yale mambo mazuri...kwa hio nimefurahishwa kuona Daawa yake watu wasio kuwa waislam inawavutia....nawaombea dua kwa Allah awape nuru waweze kuijua Haki....Mimi siku ya Kiama nitamkalia ushahidi Sheikh Kipozeo kua Daawa aliifikisha na watu waliipenda.

3.Ibaadat Swalihuun(Ibada za Waja wema)
Hii ni ibada ya watu ambao wao humuamudu Allah kutokana na ukubwa wake, Maajabu yake(Mbingu,Ardhi,Nyota,Namna ya uumbwaji wa viumbe,neema amabozo Allah huwaneemesha)...kundi hili wao hafanya ibada katika muundo wa kumshukuru Allah kwa neema ambazo tayari ameshawapa na atakuja kuwapa....pia hufanya ibada kwa ajili ya kukimbia Ghadhabu za Allah....kama vile Majanga ya maradhi,matetemeko...mafuriko nk. Watu namna hii wanayo khofu ya Moto na wanayo matarajio ya pepo....lakini wao Tayari wanamuogopa Allah bila hata kutajiwa moto wala kuahidiwa pepo...Aina hii ya Masheikh wao huwa wapo katika hali zote mbili....huwa wakali panapo hitaji ukali pia hua na busara na upole panapohitajika....

Kwa hio si vyema tukaanza kumkufurisha Sheikh Kipozeo...tumwache atutamanishe na Raha za Peponi...

Mwenyezi Mungu ndie mwenye elimu zaidi..kuliko mimi...

==========
Hata mimi napenda kusikiliza sana mahubiri yake. Kwa kweli mawaidha yake hayahamasishi uvunjifu wa amani bali anaelimisha kuhusu neema za Allah, maisha yetu na mahusiano yatu hapa duniani na mambo ya peponi. Hizi hapa chache kati ya video clip zake. Hongera Sheikh Hilali Kipozeo kwa kudumisha amani

<strong>

=========

Fuatilia Video zaidi

Karibuni wadau waJF.
 
Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah
 
Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah

Napenda sana anavyoweka mikono na sura yakw akiwa anafunga mawaidha yake. Hakika ana kiu sana na peponi
 
Hatari Sana!
 
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.

Aah lazima awe shujaa wako bidada!C kwa 7bu amesifia umbile lako(Makalio makubwa,Laini)Mpk Ukiona Shekhe anaombewa dua na Makafir ujue hapo hamna kituuu
 
Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani.
Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa.
Hatari sana.

lazima umpende huwa anasifia zigo lako.

Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.

Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.

Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
 
Sheikh Kipozeo ni kipozeo kweli... !! mie huwa nafurahi tu nikimsikia.
 
Napenda sana anavyoweka mikono na sura yakw akiwa anafunga mawaidha yake. Hakika ana kiu sana na peponi

wewe unataka kusema kuna M TZ mwanamme hata mmoja ASIEPENDA WANAWAKE WAZURI?? Kama yupo basi ujue tayari ameingia ktk ile club ya wanamme wanyonga viuno kama Remote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom