Edward Ngoyayi Lowassa jembe la watanzania 2012 kwa sababu alisema bila woga kuwa vijana wasio na ajira ni bomu linalotarajia kulipuka na pia jamaa ni mchapa kazi sana hata kama mnamzushia tuhuma mbalimbali zilizojaa wivu wa kike
Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya chama na wananchi nk