Bila Kinyongo,
Marehem Muammar Gaddafi kwa kusimamia kauli yake hadi mwisho kwamba hatakimbia Libya na hata kama nikufa atafia Libya.
Bila Kinyongo,
Marehem Muammar Gaddafi kwa kusimamia kauli yake hadi mwisho kwamba hatakimbia Libya na hata kama nikufa atafia Libya.
mkuu, libya sio nchi yetu. yetu inaitwa Tanzania. mungu akuweke pema pepon wa ukweli gaddafi
Dr.W.P. Slaa Kiboko Ya Wachumia Tumbo a.k.a Masalia.
Nakubaliana na wewe mkuu, hapa kwetu sijaona mwanasiasa anayesimamia maneno yake ndio maana nikajikuta navunja masharti ya uzi.
Thanks
Mkuu mada haisemi shujaa lazima awe mwanasiasa. Kuna wengine shujaa wao ni Sheikh Ponda.
Mi shujaa wangu kwa mfano ni Juma Kaseja.
Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya chama na wananchi nk
Deo Filikunjombe !