Shujaa wako mwaka 2012

Shujaa wako mwaka 2012

Kwa upande wa media, shujaa wanfu ni Yahya Mohamed wa star tv kwa mijadala yake anayoongoza kwani inatoa elimu ya uraia na kunyoosha pale ukweli unapopindishwa
 
Zito kabwe hoja aliyoibua bungen kuhusu hela zinazofichwa nje pia hoja zake kuhusu masuala ya mikataba na faida za gas yetu pia aligundua na kurekibisha mengi kuhusu mashirika ya umma ambayo kila mtz yanamgusa,mwezi mmoja nyuma nilikua simfahamu ben saanane duh nae kishakua shujaa wa taifa! Tanzania inachekesha sana
 
Dr. Wilbrod Peter Slaa. Amevumilia mengi waliyomzushia, anaendelea kuchapa kazi bila kukata tamaa. Naomba wote wenye moyo wa upendo tuendelee kumwombea mzee huyu kwa Mungu mwenyezi aendelee kumlinda ili azma yake ya kulikomboa taifa letu dhidi wezi wa mali asili zetu itimie......

​Hero of the decade
 
Me shujaa wangu mr mdhaifu a.k.a ------ huyu jamaa anakila sifa ya kuitwa shujaa kwanza ni rais pekee aliyevunja rekod ya kuwa maneno machafu na ya kukatisha tamaa kwa wananch wke, asiyekuwa na maamuz sahih kwa viongoz wenzie pale wanapofanya madudu, kupenda kuruka mara kwa mara kama popo, na kupenda kuwasaidia wasanii wakike pale wanapokuwa na matatizo na kwa wasanii wa kiume yeye hupenda kuzika tu na sio kusaidia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Godbles kinara wao kwani wanajutia kumrudisha ulingoni.

  • :target:
 
Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya chama na wananchi nk

Mimi naomba pasipo aibu wala ubinafsi nimtangaze Saa nane Umefanya kazi nzuri sana! uwe umetumwa au hapana lkn imenisaidia kujua mengi kuhusu siasa na imani yangu imezidi kuwa Imara. Kuna mambo mengi umesaidia yasiharibike kuliko ungekaa kimya. Katika hili wewe ni shujaa!

Mungu akupe heri na kukupigania!

Kumbe kakusaidia wewe tu.
 
shujaa wa vilaza kwa ulaza

huyu ndiye shujaa wa mwaka 2012.
jwUN1.jpg
 
angalia vizuri maoni ndani ya hii post,utawagundua watu ukanda.Acha ubishi pitia tena kwa makini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom