Shujaa wako mwaka 2012

Shujaa wako mwaka 2012

Hahahaa I knew it baada ya hii thread kuwekwa nlisubiria bandiko lako na nlijua tu lazima kamanda Ben atakuwa 2012 hero.

Mkuu sixgates hilo lipo kabisa kuwa kamanda,Jemedari Ben Saanane ndiye shujaa mwaka huu 2012 kwani kazi aliyoifanya si kitoto na kukomesha kabisa uasi thus why i real admire the guy.

LONG LIVE MY HERO Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
BABU wa LOLIONDO aliwapa w2 kikombe akatangaza SAMUNGE Umeme ,barabara,cm za mkononi zikafika nani kama BABU.
 
Dr.W.P. Slaa Kiboko Ya Wachumia Tumbo a.k.a Masalia.



Mi shujaa wangu anatokea Loliondo anaitwa 'Babu"

Alifunika vibaya sana 2012 , sio tu kwenye media bali alifanya kazi ambayo wabunge wengi walishindwa kwa miaka mingi.
Mfano kupeleka lami,huduma za kijamii na vigogo loliondo.

Hiyo ni tisa kumi ni kupiga mshiko wa maana katika umri wa kutokopesheka kwa taratibu zozote za kiraia au kibenki
hasa baada ya kuwa kwenye recycle bin ya chachi bila kuwa na mpango wowote wa kuwa recycled!:evil:
 
Bila Kinyongo,

Marehem Muammar Gaddafi kwa kusimamia kauli yake hadi mwisho kwamba hatakimbia Libya na hata kama nikufa atafia Libya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom