​Hero of the decade
kumbe kusemwa ni ushuja bac mungu nj pesa
​Hero of the decade
Dr Wilibroad Slaa is my role model in 2012
Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya chama na wananchi nk
Mimi naomba pasipo aibu wala ubinafsi nimtangaze Saa nane Umefanya kazi nzuri sana! uwe umetumwa au hapana lkn imenisaidia kujua mengi kuhusu siasa na imani yangu imezidi kuwa Imara. Kuna mambo mengi umesaidia yasiharibike kuliko ungekaa kimya. Katika hili wewe ni shujaa!
Mungu akupe heri na kukupigania!