Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,251
- 126,718
Uelezee kwa kweli ili kama inafunza wengine wajifunze maana hii tabia ipo sana wakati wa safari na walio wengi wanaonaga ni kawaida hasa Me. 😜😜😜miaka ya nyuma nilishawahi kukutana na hiyo changamoto nitakueleza vizuri baadaye hapa haikai