Huwa sipendi mtoto wa kike aniite "Mkuu". Huwa inaondoa...........!nikuiteje Mkuu?
Huwa sipendi mtoto wa kike aniite "Mkuu". Huwa inaondoa...........!nikuiteje Mkuu?
Hahahaaa. Umeonaeee.Maana Me wengine akipewa namba tu anahesabu ushindi😀😀😀
Kuna wale wasumbufu na wengine ving'ang'anizi wasiojua kukataliwa....hahahaaaa lakini wanume ndio tulivyo Hajar mtuvumiliage tu
Hivyo jirani kutoa namba sio sehemu ya kukubali eeee?
Nafuatilia kwa ukaribu.Kumbe wakitoa namba ni sehem ya kukubali . Ngoja nianze ku review fonebook yangu
miaka ya nyuma nilishawahi kukutana na hiyo changamoto nitakueleza vizuri baadaye hapa haikaiUmeona Mkuu japokuwa nishawahi pata storry kuna wale wa safari za mbali zile za kulala njiani wanafikia hatua ya kulalan* kabisa.
Mie pia siyaafiki kwa kweli maana waeza kuta Me anamdanganya mwanamke kwa muda tu ili kuondoa hizo tunazoziita stress na unakuta hana nia yeyote nzuri.
😂😂😂😂😂😂😂 kwa hili nitakucheka kila nikikuona. Wallah vile.Nitakujeruhi !?
Hahahaaa. Usijali Mkuu.Huwa sipendi mtoto wa kike aniite "Mkuu". Huwa inaondoa...........!
Huwa lina ukakasi na linaondoa murua....!Hahahaaa. Usijali Mkuu.
Wewe tu ila ni neno la kawaida Sanaaaa.
AhaaaaUnafungua kuangaza angaza for the best options...
Ewaaaaaa. Mwisho wa siku mapenzi yanaishia hapo hapo kwenye basi. Inabaki story.eeeee.....
Nimeona.. Ngoja ajee uone atakavyokanaHahahaaaa. Kwa hili wacha nisubiria cute b apite hapa nione nini ataandika jirani.
Jiran kwani ukiwa kwenye uhusiano ndio unafunga vioo?? Hahahah unatakiwa ufungue vioo uangalie the best zaidi.
Japo mie nimefunga vioo. ]]]
Hahahaha aone kwanza hapo juu. Kisha tuendeleee.Hahahaaaa. Kwa hili wacha nisubiria cute b apite hapa nione nini ataandika jirani.
Inategemea. Marks za siku moja zinaweza kukufanya uendeleee au ufunge hiyo page.Ewaaaaaa. Mwisho wa siku mapenzi yanaishia hapo hapo kwenye basi. Inabaki story.
nimeshindwa kukuletea private msg ya mkasa ulikuwaje labda uni pmmiaka ya nyuma nilishawahi kukutana na hiyo changamoto nitakueleza vizuri baadaye hapa haikai
Haswaa mtu hashikiwi fimbo kulazimishwaHahahaaa. Umeonaeee.
Japo kuna sehemu mtu kaandika kwamba kwa jinsi me anavyokuwa msumbufu saa nyingine Ke anashuka ambapo hakupatarajia kuepuka usumbufu japo naona sio dawa hiyo sababu mtu hashikiwi fimbo kulazimishwa akubali.
Ume editHahahaha aone kwanza hapo juu. Kisha tuendeleee.
Asie jua kukataliwa kwa sisi wanaume tunasema huyo si mwanaume kamili,na kujitia umangungu wa kang'ang'ania ni kutojiamini.Maana Me wengine akipewa namba tu anahesabu ushindi😀😀😀
Kuna wale wasumbufu na wengine ving'ang'anizi wasiojua kukataliwa....hahahaaaa lakini wanume ndio tulivyo Hajar mtuvumiliage tu
Nop....!Ume edit